A.T.M JEFF Chekelea cover image

Chekelea Lyrics

Chekelea Lyrics by A.T.M JEFF


Everytime, I think of you my lover
Aaah aaah
I swear I will love you forever
Aaah aaah

Mi ni picha ya Raisi (Ya Raisi)
Waga siwekwagi bodyguard
Itanikera sana
Nipaposikia unatoka inje ya ndoa

Baby usisumbuke kuroga
Maana tayari ushanoga 
Ndani ya moyo, ooh beiby ooh

Tell me what you need
Niambie unachotaka, nitakupa
Oooh ooh, Nakupenda sana 
I think that you know baby oooh

Nimeshadata, mimi kwako 
Nimeshadata, oooh my beiby 
Nimeshadata

Nimeshadata, niamini
Nimeshadata, mimi kwako 
Nimeshadata, nishadata beiby
Nimeshadata, niamini beiby

Mwenye kwao haogopi giza
Wahenga walisema, aaah ah
Ndio maana kuja kwako 
Baby sikuulizaga, aah ah

Tena usijezani naigiza
Ikajafika ukaniumiza
My beiby eh
Najihisi raha ooh baby eeh

Nikiwa naenjoy nawe somehow mama eeh
Kwenye shida na raha baby eh
Ning'ang'anie mama ooh, 
Nikumbatie sana, oooh oh

Tell me what you need
Niambie unachotaka, nitakupa
Oooh ooh, Nakupenda sana 
I think that you know baby oooh

Nimeshadata, mimi kwako 
Nimeshadata, oooh my beiby 
Nimeshadata

Nimeshadata, niamini
Nimeshadata, mimi kwako 
Nimeshadata, nishadata beiby
Nimeshadata, niamini beiby

Chekelea, chekelea, chekelea
Chekelea baby, we ndo wangu mama
Chekelea, chekelea, chekelea
Nakupenda sana, chekelea

Dubidubnirudo eiiyeeeh

Watch Video

About Chekelea

Album : Chekelea
Release Year : 2020
Copyright : © 2020 Progress Music Group
Added By : Huntyr Kelx
Published : May 04 , 2020

More A.T.M JEFF Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl