Tam Tam Lyrics by ZZERO SUFURI


Yeah yeah
(Magix Enga on the beat)

Magix Enga cheki ni Zzero
Kama Sos, kama soss
Mi ndio boss 
Mi ndio world boss

Tam tam tam tam ka asali
Tam tam si watam tam ka asali
Tam tam tam tam ka asali
Tam tam Zzero mi mtam ka asali

Tam tam tam tam ka asali
Tam tam si watam tam ka asali
Tam tam tam tam ka asali
Tam tam Zzero mi mtam ka asali

Cheki, ta! Tam mi mtam
Tam ka asali si huwasha tuko --
Ju ya beat kali na tuko farmer
Ati wanadai ni compe na sioni anyone

Still na-murder beat vimercyless
Wao ju ya beat si ni susu-sufuri
Soft and clean na hope mnaniskia
Nikiingia na nikimalizia

Kutangulia si haimaanishi kukaanga mbele
Enyewe si wanakuaga wameingishanga njeve
Madem kitu si huwaitanga mkia
Chakula huonjwo bado ikiwa kwa sufuria

Naeza ku- pia naeza kukupikia
Naeza ku-ku pia naeza kukupikia
Umesikia 

Tam tam tam tam ka asali
Tam tam si watam tam ka asali
Tam tam tam tam ka asali
Tam tam Zzero mi mtam ka asali

Tam tam tam tam ka asali
Tam tam si watam tam ka asali
Tam tam tam tam ka asali
Tam tam Zzero mi mtam ka asali

Cheki tutoto twote tudungwe tete
Uchungu kidogo na tusitete
Cheki ka kasize nimkate machete
Ndio ikifika ruu usinipige pete

Ati greetings ka uko fiti
Piga mkoko Mekings 
Cheki coco, macheng bado fiti
Dance vunja kiti, kujinyc kula miti
Ka huna shore basi jikunje kwa kiti

Ati hii ngoma ni ya wale watu
Wanapenda kuoga hawanukagi viatu
Wanapenda ku-hustle hawashindagi mtaa tu
Wanakuaga rada hawakuagi mafyatu

Ati hii ngoma ni ya wale watu
Wanapenda kuoga hawanukagi viatu
Wanapenda ku-hustle hawashindagi mtaa tu
Wanakuaga rada hawakuagi mafyatu

Tam tam tam tam ka asali
Tam tam si watam tam ka asali
Tam tam tam tam ka asali
Tam tam Zzero mi mtam ka asali

Tam tam tam tam ka asali
Tam tam si watam tam ka asali
Tam tam tam tam ka asali
Tam tam Zzero mi mtam ka asali

Ukinicheki hii ni ya mashata
Na ku-roll ndio janta
Nakuwanga na malorry na mapick up na canter
Nakuwanga na ma-verse ndani ya beat sijaihata
Dagoretti namba mbili studio tu utanipata 

Yeah yeah ni Zzero
Kama Sos, kama soss
Mi ndio boss 
Mi ndio world boss

Watch Video

About Tam Tam

Album : Tam Tam (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 RGM Empire.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 17 , 2020

More ZZERO SUFURI Lyrics

ZZERO SUFURI
ZZERO SUFURI
ZZERO SUFURI

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl