Bwana Wa Mabwana Lyrics
Bwana Wa Mabwana Lyrics by ZZERO SUFURI
Apewe Sifa Apewe Sifa
Apewe Sifa (K Wise)
Bwana wa mabwana leo ainuliwe (Wawawawa)
Bwana wa mabwana leo ainuliwe (Yeyeyeye)
Bwana wa mabwana leo ainuliwe (Wawawawa)
Bwana wa mabwana leo ainuliwe (Yeyeyeye)
Cheki me kantoa juu ya dhambi
Arogoshwe mwathani
Kunifikisha mahali singedhani
Akaniandalia sahani
Wakati kwangu haipatikani
Na bado akujenge we jirani
Kwangu hali ni ghali Sinanga biz
Mi hupiga biz nipate tu ganji
Ngori ni mob Sir God na bado mahitaji
Upate hadi umewekelewa lawama juu ya mshikaji
No wonder at times unajiuliza kwani ni aje?
Baba ninakupenda, asante sana baba
Mwokozi wangu, maana mimi
Mimi sitaona haya kusema
Wewe wangu na mimi wako
Baba mi nakupenda sana
Nisaidie nisaidie Baba aah
Bwana wa mabwana leo ainuliwe (Wawawawa)
Bwana wa mabwana leo ainuliwe (Yeyeyeye)
Bwana wa mabwana leo ainuliwe (Wawawawa)
Bwana wa mabwana leo ainuliwe (Yeyeyeye)
Naweza piga look safi nikienda church
But Doo sina (Doo sina)
Na sio kitu fine kuni-judge
Na bado we sinner (We sinner)
Aisee chunga vile unasema
Mushene ukipewa kumbuka si mtu hupeanaga hewa
Usiishi nika ni jela, freedom umepewa
Tenda wema nenda zako si hivyo ndo alisema

Nitamuimbia nani? Nitamuimbia Yesu

Wawawawa...
Yeyeyeye...
Watch Video
About Bwana Wa Mabwana
More ZZERO SUFURI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl