
Kukupenda Lyrics
...
Kukupenda Lyrics by YAMMI
Mmmh mmmh mmmh
Haah haah haah
Haah mafeeling records haah
Mi nimfugali wa kuku wa penzi baby naomba kukugea
Naomba pokea, naomba pokea
Honey ni kuku gani unataka nikupe kukupenda amaa
Kuku jali kuku heshimu kuku zalia
Njoo nikuoyeshe kuku kea kukulea
Kukuelewa kama motto kuku elewa kwa mengi hata usio yanena
Mana aah
Kimwili naishi ila we ndo roho yangu
Ukiondoka upande wangu nimeishaa
Hivi bado ujahisi uwaga napoteza utimamu
Usipo pokea simu yangu nafoka aah
Kama kama simenti
Ntagandana na wewe ntagandana nawewe
Ni kama
Kama siafu ntafatana na wewe safari ya milele
Nakupenda wee
Ukiniita sita tembea kuja nitakimbiaa
Ukinilaza kwa kifua chako ntasinzia
Najua hupendi kuku poa mi pia sitaki kukuboa
Na siwezi kukuondoa moyoni ntajitia doa
Mana aah
Kimwili naishi ila we ndo roho yangu
Ukiondoka upande wangu nimeishaa
Hivi bado ujahisi uwaga napoteza utimamu
Usipo pokea simu yangu nafoka aah
Kama kama simenti
Ntagandana na wewe ntagandana nawewe
Ni kama
Kama siafu ntafatana na wewe safari ya milele
Nakupenda wee
Watch Video
About Kukupenda
More YAMMI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl