Tete Lyrics
Tete Lyrics by WYSE
Nishachoka simanzi
Kutwa maradhi
Ya moyo kudunda dunda
Kuwa kijakazi
Mtumwa mapenzi
We ndiye umefunga funga
Na umenionyesha njia kipenzi
Sina budi nikushukuru
Asante, asante
Wapo walosema
Kupendwa siwezi
Eti nina nyota ya kunguru
Unavyodeka katoto kadogo
Ukiwa kifuani(Tete)
Ona njonjo zako na mikogo
Ukiwa kitandani(Dede)
Unapendeza kishavu kidodo
Pilau biriani (Tete)
Napenda unavyomenya mhogo
Kitenge kisahani, nipakue
Aaah...aaah, yamenikolea mapenzi
Aaah...aaah, Sibanduki ng'o ng'o
Aaah...aaah, Umenikamata siwezi
Aaah...aaah, Kwako nimefika kikomo
Utakacho najitutumua
Kipenzi ufurahi
Tena beiby mi najua
Unapenda ndizi chai
Unanichanganya yakiiva
Jikoni mapishi pishi
Mara moja tutoke
Tukale kwa Shishi Shishi, beiby
Fungua mlango mi nipite ndani
Mwenzako nimekumiss
Nikisha ingia ndo ufunge
Wasikuite maibilisi
Unavyodeka katoto kadogo
Ukiwa kifuani(Tete)
Ona njonjo zako na mikogo
Ukiwa kitandani(Dede)
Unapendeza kishavu kidodo
Pilau biriani (Tete)
Napenda unavyomenya mhogo
Kitenge kisahani, nipakue
Aaah...aaah, yamenikolea mapenzi
Aaah...aaah, Sibanduki ng'o ng'o
Aaah...aaah, Umenikamata siwezi
Aaah...aaah, Kwako nimefika kikomo
Mi mwenzenu napenda
Mi mwenzenu napendwa
Mi mwenzenu napenda
Hoi taabani
Mi mwenzenu napenda
Mi mwenzenu napendwa
Mi mwenzenu napenda
Hoi taabani
Watch Video
About Tete
More WYSE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl