Bila Pesa Lyrics by WEEZDOM


Bila pesa bila money
Mi najua unanipenda
Mi najua yuko nami
Toka Jan mpaka December

Bila pesa bila money
Mi najua unanipenda
Mi najua yuko nami
Toka Jan mpaka December

Bila pesa bila money
Wazee wa kitambo walikuwa zamani
Bila pesa bila money
Wazee wa kitambo hawakuwa na money

Bila pesa bila money
Wazee wa kitambo walikuwa zamani
Bila pesa bila money
Kanifia msalabani

Cheki bro relax chill skiza flow
Amenijenga na asiniulize wapi doh
Cheki bro relax chill skiza flow
Ka unataka ukweli mi sinaga doh

Bila pesa bila money
Mi najua unanipenda
Mi najua yuko nami
Toka Jan mpaka December

Bila pesa bila money
Mi najua unanipenda
Mi najua yuko nami
Toka Jan mpaka December

1, alinitoaga Voi 
Sasa niko jiji shetani hatoboi
2, akanipa mziki 
Nampa shukurani zangu toka moyoni

3, ananipenda sana
Namuimbia Hosana
4, siku zote sitamuacha 
Ata nikisota atabaki kuwa mwamba

Nikimwendea hunipokea
Na njia zake mimi nafuatilia
Nikiongea nikitembea
Yeye huwa nami kote naelekea

Bila pesa bila money
Mi najua unanipenda
Mi najua yuko nami
Toka Jan mpaka December

Bila pesa bila money
Mi najua unanipenda
Mi najua yuko nami
Toka Jan mpaka December

Tembea, natembea
Na yeye
Tembea, natembea
Na yeye

Tembea, natembea
Na yeye
Tembea, natembea
Na yeye

Bila pesa bila money
Mi najua unanipenda
Mi najua yuko nami
Toka Jan mpaka December

Bila pesa bila money
Mi najua unanipenda
Mi najua yuko nami
Toka Jan mpaka December

Watch Video

About Bila Pesa

Album : Bila Pesa (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019 EMB records.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 29 , 2019

More WEEZDOM Lyrics

WEEZDOM

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl