Usifiwe Lyrics
Usifiwe Lyrics by WAPENDWA MUZIKI
(Alexis on the beat)
Ninainama kusujudu
Nasimama nikusifu
Ninainama kusujudu
Nasimama nikusifu
Wewe usifiwe, usifiwe
Wewe usifiwe, usifiwe
Asubuhi naamka mapema
Mtaka cha mvunguni nainama
Nakutanguliza Mungu kwa sala
Bila wewe sina maana
Wewe, wewe, mtetezi wa wanyonge ni wewe
Wewe, wewe, mtimiza ahadi ni wewe
Machozi yaliisha pale, pale
Msalabani yaliisha pale
Mizigo zangu nilitua pale
Msalabani yaliisha pale
Dhambi zangu ziliisha pale, pale
Msalabani yaliisha pale
Yote yaliisha pale
Msalabani yaliisha pale
Ninainama kusujudu
Nasimama nikusifu
Ninainama kusujudu
Nasimama nikusifu
Wewe usifiwe, usifiwe
Wewe usifiwe, usifiwe
Machozi umenifuta Bwana
Mizigo ukanitua Bwana
Mitego niliopangiwa
Yote umeichoma umeichoma
Sina hofu Yesu
Ulikuja maisha ikabadilika
Yesu, unafanya ninafurahia
Sasa msishangae vile ninamsifu
Wacheni nimsifu
Ninainama kusujudu
Nasimama nikusifu
Ninainama kusujudu
Nasimama nikusifu
Wewe usifiwe, usifiwe
Wewe usifiwe, usifiwe
Machozi yaliisha pale, pale
Msalabani yaliisha pale
Mizigo zangu nilitua pale
Msalabani yaliisha pale
Dhambi zangu ziliisha pale, pale
Msalabani yaliisha pale
Yote yaliisha pale
Msalabani yaliisha pale
Usifiwe, usifiwe
Wewe usifiwe, usifiwe
Wewe usifiwe, usifiwe
Wewe usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Wewe usifiwe, usifiwe
Watch Video
About Usifiwe
More WAPENDWA MUZIKI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl