...

Whine Selekta Lyrics by WANAVOKALI


Hii maisha sometimes

Inahitaji uwe na confidence

Shida zote weka chini

Sometimes kuna ka opulence

Ni good vibes tu all the way

Stress me sitaki

Not today

Good vibes tu all the way

Bad energy, no

Not today

Iyanii fundi wa mitambo

Nafanya mambo

Mziki ya Kenya naipeleka ngambo

Selekta ni diambo

Rambo kanambo

Nimekojolea beat nataftwa na Kanjo

Pull up selekta ikibamba sana wapi nduru …. (Eeeeh)

Doba imeweza, ikibamba tena nipe nduru… (Weweee)

Tukikuja show

Usiketi kwenye floor

Nengua ka kiuno

Songa kando ka hauna flow

Hebu wacha tukushow

Vile hii kitu inago

1 step 2 step haina mambo

Fundi bila mitambo

Whine selekta ah ah

Whine selekta ah ah ah x4

Stim stim stim stim stim stim ah

Huwezi kutuzima

Tumekuja kuparty

Tumekuja kushaky our body

No stress, skiza mziki, cheza densi

Choma nyama ,vuta moshi, weka beti

Form imeshika kabla ya wikendi

Mbogi yangu haichelewangi

Hizo shida

Weka chini

Monday to Thursday

Kaza mwili

Friday inafika lini?

Ikifika sasa sisi

Tukikuja show

Usiketi kwenye floor

Nengua ka kiuno

Songa kando ka hauna flow

Hebu acha tukushow

Vile hii kitu inago

1 step 2 step haina mambo

Fundi bila mitambo

Whine selekta ah ah

Whine selekta ah ah ah

Whine selekta ah ah

Whine selekta ah ah ah

Whine selekta ah ah

Whine selekta ah ah ah

Watch Video

About Whine Selekta

Album : (Single)
Release Year : 2024
Copyright :
Added By : Farida
Published : Nov 21 , 2024

More WANAVOKALI Lyrics

WANAVOKALI
WANAVOKALI
WANAVOKALI
WANAVOKALI

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl