Mangana Manangos Lyrics
Mangana Manangos Lyrics by WAKADINALI
Wakali na Wakadinali
Wera nayo nayo ng'ang'ana
Pang'ang'a hapa kando
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Woke up so early
Bado Malaya wangu ako kando
Na si mama wa kwangu
Ni sister nyang'anya ako hustle
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Woke up so early
Bado Malaya wangu ako kando
Wera nayo nayo ng'angana
Pang'ang'a hapa kando
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Woke up so early
Bado Malaya wangu ako kando
Na si mama wa kwangu
Ni sister nyang'anya ako hustle
Wasea nduli ni sisi, mtaani maskani ni deep
New school kids tuko fully equiped
Hii beat ni heavy plus hii shit ni crazy
Tunafaa tupitie super highway hii weekendi
Fans wanacry TRM, Garden City, Natives
Si huletanga hits
Glow na Tshirt, british nevilla
Msee huwanga potential na biz
Ndio maana Munga hapa siwezi bagua adui
Sababu unaeza mkula tenje ndio ajue hajui
Kumfagia teke teke ka ile hardware ya juzi
Angalau hata mimi nipate
Nakumbuka nikihustle mashimoni ndio nisake
But siku hizi niko surprised nashangaa manze
Venye msupa ananidai na hata sina deni yake
Hizo ndo zao mahater ni ma flower girl
Ka Chebukati ati sinanga shower gel
Sabuni ya vipande
Hivi venye hizi chopper zinapatrol huku mtaani
Consistence sote tunajua that hii sio coincidence
Jione mjuaji guarantee to police chase
Ju ngeli ni njora mara liver na ripcage
Incase hujajua hapa adjustment ndo business
Si tumetoka mainstream ka ile river ina leakage
For the don, Kobe giant tukifanya hizi moves
Mi ndio Lebron Kobe Bryant aliskia akani approve
Reason Kenol Kobil client waliniskia ati na groove
--------
Wera nayo nayo ng'ang'ana
Pang'ang'a hapa kando
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Woke up so early
Bado Malaya wangu ako kando
Na si mama wa kwangu
Ni sister nyang'anya ako hustle
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Woke up so early
Bado Malaya wangu ako kando
Wera nayo nayo ng'angana
Pang'ang'a hapa kando
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Woke up so early
Bado Malaya wangu ako kando
Na si mama wa kwangu
Ni sister nyang'anya ako hustle
[Scar Mkadinali]
Hahaha welcome to Eastlando my motherland
Come from the bando kung'ang'ana men
Usijichoche East ni lawama men
Kuna maboy hunyang'anya mpaka mabang'a fe
Ka ni kunuka si kanuke si ni sawa itepe
Coward boy tunakujua kama kawa uhepe
Suka beat ndio mtaa waipende
We umepata juzi hit na ushawai pembe
Badman tings wacha iende
Mama alisema niogope nyasae kende
Kazi ju ya kazi katanasa wikendi
Ka ni yako itarudi kwa sasa wacha itembee
Huh sa we roll with the business
Black man fresh nikinyonyaga guiness
Unanimess na hujanionanga TV
Unanichase unanionanga chizi
Hii ni East man tomba marendezey
Ka ni biz unabonga na manangerr
Piga chizi ukichoka mi niendelee
Hizo streets mi ni donda na mi deree
Zero chills nipate mbele
Kila scene ni ku boss up mi sibembelezi
Ah kumangana manangos ni lazma
Mabang'a ka narcos kukanjwa
Mablunder Eastlando ....
Wera nayo nayo ng'ang'ana
Pang'ang'a hapa kando
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Woke up so early
Bado Malaya wangu ako kando
Na si mama wa kwangu
Ni sister nyang'anya ako hustle
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Woke up so early
Bado Malaya wangu ako kando
Wera nayo nayo ng'angana
Pang'ang'a hapa kando
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Woke up so early
Bado Malaya wangu ako kando
Na si mama wa kwangu
Ni sister nyang'anya ako hustle
Watch Video
About Mangana Manangos
More lyrics from Ndani ya Cockpit 2 (NYCP2) album
More WAKADINALI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl