Wanyanye Lyrics by VIRUSI MBAYA


Koro si koro nimetinga nono
Hakuna hedi mbono
Koro si koro nimetinga nono
Hakuna hedi mbono

Basi wewe wanyanye
Wawashie wanyanye
Wasetie wanyanye
Koro ni zangu tu

Basi wewe wanyanye
Wawashie wanyanye
Wasetie wanyanye
Koro ni zangu tu

Niwashike waende mbele iwashike
Shika na idhaa ka ni safi wacha iwashike
Wenye hawana rada wachana nao waboeke
Ju ka we ni kamili KE imefaa ikamilike

Ndio ukutane na -- ka hii we jua ni bahati
Hii ni ile inafanya mpaka warasta wanaanza kutii
XXXL hauskii sa izo ndo makoro
Ma artist wacheni niwashow sai mchoro

Punguza usoro hii kitu haiwezi kuwacha na sorrow
Nazivuta ka nane zile zetu za kiaboro
Na zile vitu tumestore kwa store ni vitu raw
So mtu wangu please usiniletee mastoro

Na zikiingia mangware nazisukuma by gizani
Usingizi haipatikani usiku wa manane, lazima kanyanye
Headi hazifanani mavedi wacheze mbali
Haina pupa haina Fally bola zigi na kamali

Naitoa namba nane naidonyo Ruiru ndani
Kwa wasitiri kila mahali, kaskazini mashariki
Nimechoka na makilo nahitaji tons kadhaa
Unaeza skunk kitaa mnaeza ichase liquor
Siwezi kushow shit kuhusu mboka za white collar
Nitakufunza kuwa thug nikuingize at the corner 

Basi wewe wanyanye
Wawashie wanyanye
Wasetie wanyanye
Koro ni zangu tu

Basi wewe wanyanye
Wawashie wanyanye
Wasetie wanyanye
Koro ni zangu tu

Koro si koro nimetinga nono
Hakuna hedi mbono
Koro si koro nimetinga nono
Hakuna hedi mbono

Wanyanye
Wawashie wanyanye
Wasetie wanyanye
Koro ni zangu tu

Wanyanye
Wawashie wanyanye
Wasetie wanyanye
Koro ni zangu tu

Watch Video

About Wanyanye

Album : Wanyanye (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 09 , 2020

More VIRUSI MBAYA Lyrics

VIRUSI MBAYA
VIRUSI MBAYA
VIRUSI MBAYA
VIRUSI MBAYA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl