ECHO Nakiwasha  cover image

Nakiwasha Lyrics

Nakiwasha Lyrics by ECHO


Mwanangu leo nakinukisha mpaka kieleweke
Ziletwe pombe ninywe leo mpaka nizime
Kuna kitoto cha jirani chaniona bwege
Eti anikubali mpaka nimpe ndege
Wakati geto langu naishi na vindege
Kula kwenyewe mpaka nikakoroge zege
Hii dunia kuna marafiki wanafiki
Ingekuaje binadamu ye ndo angegawa riziki
Ungepigwa ma x, usingepata tick
Babe ooh nakupenda mi mwenzako
Sili silali akili zimeganda kwako
Anakutafuta siku akiwa na shida
Na ukimuita geto anasema navuja

Dunia ina majanga majanga aya
Ina visanga visanga aya
Dunia ina majanga majanga aya
Yana visanga visanga aya

Leo nakiwasha, nakiwasha
Leo leo leo leo, nakiwasha, nakiwasha
Leo leo leo leo, nakiwasha, nakiwasha
Leo leo leo leo, nakiwasha, nakiwasha
Leo leo leo leo

Mganga nimekuja kwako naomba unisikie
Nashida zangu naomba mganga unisaidie
Kijana shida zako zote nimeshazijuwa
Fanya mpango asubuhi njoo na vitumbua
Leta ngombe, leta mchele vyengine unajuwa
Mganga mungu wengine mbona tuachane nao
Unashida zako nao pia wanashida zao
Chunga kuna watu wasopenda yako mafanikio
Wanataka kila siku ukienda kwabe kilio
Jirani chokochoko za nin
Kwanza ivi shida nini
Unanionea gere kwani kwako nimekula nini
Jirani kwenye shida mi ndo nilie kusaidia
Leo hii malipo haya ndo unanilipia
Unanibandika kesi ili niweze jifia
Ila usijali nimejifunza hii kweli ndo dunia

Nakiwasha, nakiwasha
Leo leo leo leo, nakiwasha, nakiwasha
Leo leo leo leo, nakiwasha, nakiwasha
Leo leo leo leo, nakiwasha
Leo leo leo leo, nakiwasha
Leo leo leo leo, nakiwasha
Leo leo leo leo, nakiwasha
Leo leo leo leo, nakiwasha

Watch Video

About Nakiwasha

Album : Plus 254 (EP)
Release Year : 2023
Added By : Farida
Published : Aug 03 , 2023

More ECHO Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl