Mapema Lyrics
Mapema Lyrics by SWAT MATIRE
Mapema bado ni mapema
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema (Mapema)
Kulewa mzinga utapewa
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema (Mapema)
Mapema bado ni mapema
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema (Mapema)
Kulewa mzinga utapewa
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema
Cheki we hujipendi unapenda kwenda mapema
Sai venye nakucheki utableki ukiongeza vela
Niko kwa bar siendi kulala
Wenye wanalala wapewe pampers
Na usidhani jo nitazima hata ukiniona nikistagger
Yaani nani unaringa pombe si basi nipee
Kaa ni mbaya pia ni mbaya ni sawa sitaregret
Na nikiona toto ameiva marinate no debate
Ukinibamba sana nakudate
Nasema nini niko chingri sai siezi relate
Ni wapi naeza lima seed igerminate
Mi ni msee nikiona liqour store na salivate
Nachanganya whiskey, gin na chrome na sizichase
Mapema bado ni mapema
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema (Mapema)
Kulewa mzinga utapewa
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema (Mapema)
Mapema bado ni mapema
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema (Mapema)
Kulewa mzinga utapewa
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema
Ukitoka kwenyu make sure umedema
Leo ni kulewa huendi home jo mapema
Leo ni hadi chee tukivutanga mavela
Leo ni hadi chee ni sherehe na madawa
Kijana na mmama, mkwela na mbaba
Baba na mshosho, mama na mguka
Kijana na mmama, mkwela na mbaba
Si yellow ni whitey, na bado tuko waba
Kijana na mmama, mkwela na mbaba
Si yellow ni whitey, na bado tuko waba
Na sta-sta-sta-stammer
Ju niko juu ya madawa
Na bado mtaja na bado niko madawa
Mapema bado ni mapema
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema (Mapema)
Kulewa mzinga utapewa
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema (Mapema)
Mapema bado ni mapema
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema (Mapema)
Kulewa mzinga utapewa
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema
6:30 jioni toto ananicall ananipeleka mbioni (Mapema)
Napika keroma jikoni siezi hata form ya kupiga tu machoki (Mapema)
Jaba sitatema makwela ndo nateka
Wanapoza hewa niko hapa ninahema
Nawapea pressure kufunga ka Manchester
Endelea kuteta nafinya kama trailer
Mapema bado ni mapema
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema (Mapema)
Kulewa mzinga utapewa
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema (Mapema)
Mapema bado ni mapema
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema (Mapema)
Kulewa mzinga utapewa
Hakuna kwenda area ju bado ni mapema
Watch Video
About Mapema
More SWAT MATIRE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl