Sponyo Lyrics
Sponyo Lyrics by GWAASH
Gwaash leta leta niseti koro
Na hii madem watakula tu
Sticker ma Pizza
(Lemario)
Niko club niko maji ninadai kukatika
Kila dem nasuka tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Niko club niko maji ninadai kukatika
Kila dem nasuka tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Niko na wife ana mimba na mtoi wa miaka saba
Tik Tacs sponyo ana doh ya makahaba
Waiter niko maji kuuza anauza ya haba
Kisha ukipinda utashika hiyo saba
Leta hiyo ikus masaa ya saa saba (Saa saba)
Nitazama hata bila rubber
Rungu nawapa hata sina rubber
Kajaba ka shada si unajua niko handas
Kila msupa anadai ni masponyo sponyo
Nini mbaya jo na hawa waroro waroro
Cheki ule dem ana nyonyo nyonyo
Juzi nilimcheki tu na Collo
Haya najua atapenda hii lolo
Anaringa ka hauna ganji hauwezi chapa ilale
Boychild cha muhimu ni uhai
Kusumbuana jo na slayqueen haifai
Anadai mi ni fuckboy
Tisho nimepiga washer loya
Kwani iko nini?
Unataka nikusuke kama Drake
Kwani wewe ndio Kiki?
Sare za ovyo, tutasumbuana hadi lini?
Niko club niko maji ninadai kukatika
Kila dem nasuka tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Niko club niko maji ninadai kukatika
Kila dem nasuka tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Sura nzuri wanadai niwadare kwa kitanda
Nikikuja kwa kitanda wanajua Gwaash ni odinare
Jump it up, jump it down kama we ni kahaba
Kahaba, Kahawa niko kwenye mkahawa
Na thank God niliwacha kupiga watu moka
Cha muhimu ni uhai, life ya mboka haifai
Pigwa tisa ikifai, we ni mbleina inafai
Nimenyanya niko high, jicho nyanya inadai
Ukiona mbaru unarise, swara nyingi haifai
Piga kuni ujinyc, usilambe lolo akidai
Verse yangu imedie acha kalimbe kaninyc
Stori ya mate leo sidai niko jaba inafai
Niko club niko maji ninadai kukatika
Kila dem nasuka tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Niko club niko maji ninadai kukatika
Kila dem nasuka tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Kila dem nadai tu ni sponyo sponyo
Watch Video
About Sponyo
More GWAASH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl