REKLES Geezer cover image

Geezer Lyrics

Geezer Lyrics by REKLES


Unataka nini mbona una feelings?
Oya ni kama umedunga kamisi
Una gari ama unadai lift?
Ju hizo mapicha unapost ni za kiki
Kama kafiri anakunywa spirit
Hapa wachawi ndio bado waumini
Sadaka ama nitalipa bill
Sawa ni pastor na pia ye ni fisi

Unataka nini mbona una feelings?
Oya ni kama umedunga kamisi
Una gari ama unadai lift?
Ju hizo mapicha unapost ni za kiki
Kama kafiri anakunywa spirit
Hapa wachawi ndio bado waumini
Sadaka ama nitalipa bill
Sawa ni pastor na pia ye ni fisi

Oya majamaa ficheni mabibi
Na gari utanunua lini?
Bado unachanga nataka Mercedes
We umepagawa unatakanga nini?
Madawa muhimu ka dini
Malaya anageuka ati jini
Mbaya mbaya bado kutu ni kutu
Na ju hakuna utu atavuta firimbi

Buda na hunanga courtesy
Ulianza kunyonga nursery
Na bado manzi yako hunionyesha mambo
Yaani manudes kwa gallery
Cheki mi niko tayari
Akitaka kufanywa surgery
Swaga ni mbaya yaani ka kawa
Nawadungiaga dungaree uh

Kama si doh ama cash 
Hakuna vile bila shash kwa bash
Na niko wera najua jo kahater 
Kata cheka sana nikilala njaa
Ka we si member unadhani unapendwa
Unataka ati favour unakanyaga
Oya gathee ni kama unachezwa
Beshte yako manzi yako wanadarana

Unataka nini mbona una feelings?
Oya ni kama umedunga kamisi
Una gari ama unadai lift?
Ju hizo mapicha unapost ni za kiki
Kama kafiri anakunywa spirit
Hapa wachawi ndio bado waumini
Sadaka ama nitalipa bill
Sawa ni pastor na pia ye ni fisi

Unataka nini mbona una feelings?
Oya ni kama umedunga kamisi
Una gari ama unadai lift?
Ju hizo mapicha unapost ni za kiki
Kama kafiri anakunywa spirit
Hapa wachawi ndio bado waumini
Sadaka ama nitalipa bill
Sawa ni pastor na pia ye ni fisi

Ona vile wanatense 
Na ni ju Rek amengusha video
Unashindwa kulala kwa bed
Iza buda jo ama unataka Piriton
Na nikapigwa jo machain
Na murder hizi beats bado mi ni criminal
Tabia zangu za ki-Cain'
Naweza kucain tukiingia hata biblical

Uh manga ka canibal, uh mi bado antidote
Rastafarai yaani staki u bombo
Fire burn system za ki Babylon
Nimezaliwa shada capital
Uh naweza kuburn mbaya
Alafu utafeel una mabawa
Mi najifeel kama vampire

Unataka nini mbona una feelings?
Oya ni kama umedunga kamisi
Una gari ama unadai lift?
Ju hizo mapicha unapost ni za kiki
Kama kafiri anakunywa spirit
Hapa wachawi ndio bado waumini
Sadaka ama nitalipa bill
Sawa ni pastor na pia ye ni fisi

Unataka nini mbona una feelings?
Oya ni kama umedunga kamisi
Una gari ama unadai lift?
Ju hizo mapicha unapost ni za kiki
Kama kafiri anakunywa spirit
Hapa wachawi ndio bado waumini
Sadaka ama nitalipa bill
Sawa ni pastor na pia ye ni fisi

Watch Video

About Geezer

Album : Geezer (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 04 , 2020

More REKLES Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl