Shikilia Lyrics
Shikilia Lyrics by PROFESSOR JAY
Tongwe records
Shikilia shikilia shikilia
Shikilia poa poa usiachie
Shikilia shikilia shikilia
Shikilia
Nah nah nah nah nah
Baby gimme dat
Nah nah nah nah nah
Gimme dat baby
Gimme some, gimme some love
Gimme my banana
Gimme some, gimme some love
Gimme my banana
Mtoto mzuri ndio maana nikakua poa
Level za juu CV yako haina doa
Unang'aa hata usipojipodoa
Haki ya nani walahi kesho natangaza ndoa
Gimme dat ili tuwakate kilimi limi
Waonyeshe ma, mama waonyeshe uko na mimi
Usikaze kiuno kama unacheza makilikili
Shikilia shikilia, shikilia mpaka chini
Ah Rudeboy with the big ting big ting
She got the bum ofcourse she is pretty pretty
Nishapandisha marua nimwite kiti kiti
Ananipatia vijiti jiti
Shikilia shikilia shikilia
Shikilia poa poa usiachie
Shikilia shikilia shikilia
Shikilia poa poa usiachie
Nah nah nah nah nah
Baby gimme dat
Nah nah nah nah nah
Gimme dat baby
Gimme some, gimme some love
Gimme my banana
Gimme some, gimme some love
Gimme my banana
Nakamatia nyuma, kamatia chini
Nakamatia kwenye makali kamatia mpini
Na kama vinoti vipo so watakuambia nini
Kazi yako kupika kufua na kuwatambia mjini
Kuna mda unaenda kama unadondoka
Kuna mda naona mzuka ila kuna muda naogopa
Kuna mda wa mchezo na mda wa makopa kopa
Kuna mda wa kupaa angani na kukaa chopa
Sasa nataka kuona alichokupa mama
Penzi limeongezeka so nimepungukiwa na drama
Kwa iyo leo nataka unipe zaidi ya ulichonipa jana
Nikikuumiza nakupoza na ngoma za Maua Sama
Tunawasama
Shikilia shikilia shikilia
Shikilia poa poa usiachie
Shikilia shikilia shikilia
Shikilia poa poa usiachie
Nah nah nah nah nah
Baby gimme dat
Nah nah nah nah nah
Gimme dat baby
Gimme some, gimme some love
Gimme my banana
Gimme some, gimme some love
Gimme my banana
Watch Video
About Shikilia
More PROFESSOR JAY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl