Nitulie Lyrics
Nitulie Lyrics by PETER PAUL MSAFI
Ooh na na naaaa na naaah PETER paul aiye
[CHORUS]
Moyo moyo nitulie
Lonely lonely usiwachie
Moyo moyo nitulie
Lonely lonely usiwachie
[VERSE 1]
Aai moyo wangu unapenda
Matendo unavyotenda
Jinsi navyo nipendaai, nitulie
Aai moyo wangu unapenda
Matendo unavyotenda
Jinsi navyo nipendaai, nitulie
[CHORUS]
Moyo moyo nitulie
Lonely lonely usiwachie
Moyo moyo nitulie
Lonely lonely usiwachie
[VERSE 2]
Cheza cheza mziki bomba nishafanya
Lenga lenga maneno yao nisha dataa
Cheza cheza mziki bomba nishafanya
Lenga lenga maneno yao nisha dataa
Walisema wenyewe
Ya ndunia duara
Penzi na ride mwenyewe
Hata iwe mubara
Walisema wenyewe
Ya ndunia duara
Penzi na ride mwenyewe
Hata iwe mubara
[CHORUS]
Moyo moyo nitulie
Lonely lonely usiwachie
Moyo moyo nitulie
Lonely lonely usiwachie
[VERSE 3]
Nataka ni kupeleke nyumbani
Umuone daddy na mammy
baada ya hapo ni ngengalee
Na zile dotolee
Nishakupata pata chezalee
Lenga lenga na machalee
Naomba kidogo ni chum mwaah
Hata waongee ni chum mwaah
Naomba kidogo ni chum mwaah aaiyaah
Naomba kidogo ni chum mwaah
Hata waongee ni chum mwaah
Naomba kidogo ni chum mwaah aaiyaah
[CHORUS]
Moyo moyo nitulie
Lonely lonely usiwachie
Moyo moyo nitulie
Lonely lonely usiwachie
Watch Video
About Nitulie
More PETER PAUL MSAFI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl