Mwema Lyrics
Mwema Lyrics by PAUL CLEMENT
Wema wako
Si kwa wakati wa furaha tu
Wema wako pia wakati
Hata wa machozi
Wema wako haupimiki
Kwa majira fulani tu
Wema wako ni kila wakati
Na kila nyakati
Hata sasa ni Mwema
Tunapoimba ni Mwema
Tunapolia ni Mwema
Tunapo cheka ni Mwema
Tunapopanda ni Mwema
Tunapovuna ni Mwema
So wewe ni Mwema, umwemaaaa
Wewe ni Mwema
Wewe ni Mwema, umwemaaaa
Wewe ni Mwema
Mungu wa baraka
Wewe ni Mwema, umwemaaaa
Wewe ni Mwema
Wewe ni Mwema, umwemaaaa
Wewe ni Mwema
Unatupenda, unatupenda
Wewe ni Mwema
Unatupenda, unatupenda
Wewe ni Mwema
Wema wako ni kama mchanga
Siwezi kuhesabu
Wema wako ni kama maji
Yanayomiminika bila kukoma
Mtu akinge ama asikinge
Hayataacha kutoka
Hata sasa ni Mwema
Tunapoimba ni Mwema
Tunapolia ni Mwema
Tunapo cheka ni Mwema
Wewe ni Mwema, umwemaaa
Wewe ni Mwema
Wewe ni Mwema, umwemaaa
Wewe ni Mwema
Unatupenda, unatupenda
Wewe ni Mwema
Unatupenda, unatupenda
Wewe ni Mwema
Wewe ni Mwema, umwemaaa
Wewe ni Mwema
Wewe ni Mwema, umwemaaa
Wewe ni Mwema
Watch Video
About Mwema
More PAUL CLEMENT Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl