
Ayee Lyrics
Ayee Lyrics by PAUL CLEMENT
Nizingewega bila wewe, Yesu
Sitaweza bila wewe, Yesu
Huko nyuma Nizingewega bila wewe, Yesu
Sitaweza bila wewe, Yesu
Nizingewega bila wewe
Nizingewega bila wewe, Yesu
Sitaweza bila wewe, Yesu
Nizingewega bila wewe, Yesu
Sitaweza bila wewe, Yesu
Nizingevuka bila wewe Yesu
Sitavuka bila wewe Yesu
Nizingevuka bila wewe Yesu
Sitavuka bila wewe Yesu
Umefanyika dargia langu
Umefanyika dargia langu
Umefanyika dargia langu
Umefanyika dargia langu
Ulifanyika dargia langu
Utafanyika dargia langu
Ulifanyika dargia langu
Utafanyika dargia langu
Ooh ooh ooh
Ninakoza maneno ya kuzema
Ooh ooh ooh
Wee Baba
Ooh ooh ooh
Umenivusha bwana
Ooh ooh ooh
Umeniwezesha
Ooh ooh ooh
Nisingepona bila wewe
Nisingepona bila wewe Yesu
Sitapona bila wewe Yesu
Nisingepona bila wewe Yesu
Sitapona bila wewe Yesu
Nisingeishi bila wewe Yesu
Sitaishi bila wewe Yesu
Nisingeishi bila wewe Yesu
Sitaishi bila wewe Yesu
Nisingeshinda bila wewe Yesu
Sitashinda bila wewe Yesu
Nisingeshinda bila wewe Yesu
Sitashinda bila wewe Yesu
Umefanyika uzima wangu
Umefanyika uzima wangu
Ndani yako umo uzima
Umefanyika uzima wangu
Umefanyika uzima wangu
Ayee ayee aye
Ayee ayee ayee
Ayee ayee ayee
Ayee ayee ayee
Nisingeweza bila wewe Yesu
Ayee ayee aye
Nisingeweza bila wewe Yesu
Ayee ayee ayee
Sitaweza bila wewe Yesu
Ayee ayee aye
Sitaweza bila wewe
Ayee ayee ayee
Sitaweza bila wewe , wewe
Watch Video
About Ayee
More PAUL CLEMENT Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl