PADI WUBON Kugurumisha cover image

Kugurumisha Lyrics

Kugurumisha Lyrics by PADI WUBON


Hii ni ya wenye vifunguo
Mnatafuta keyhole
Wagurumishaji

(Jack Jack on the Beat)

Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kuguguru-gurumisha

Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kuguguru-gurumisha

Saa sita imefika na kwenyu ni mbali
Na Uber hazifikagi kwetu
Na vile nafeel ndo vile unafeel
Hizo macho ni dhibitisho

Sina stima, sina mishumaa
Washa mikoroboi
Nnje kuna njeve, leo lazima tulale ndani
Turudi jikoni kuna kamboga
Si umind ugali ya saa saba
Alafu sina chai nimejaza jug Orange juice Quencher
Niko na samaki, utakula head mi nikule tail
Zikizidi nine nikukulie kichwa unikulie tail

Achana na remote, beiby mi nimeshatoa soap Opera
Ni mimi na we, Akwasi na Onyi, wapigane huko
Mimi nawe tutwangane hapa
Tititi tiititi tititi ngiri toa
Kokoko kokoko Konki Liquid

Sema penisili(Sema penisili)
Ongeza ka vasili(Ongeza ka vasili)
Funga makati(Funga makati)
Alafu matanjili, gigiri gigiri
Tukibingirishana kwa mabedshiti

Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kuguguru-gurumisha

Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kuguguru-gurumisha

Mosquito coil nimesha washa
WWF nyundo zishikane na makabati
Jihami Mc navuta joto
Nimekabanishwa na mabati

Battery full nimejaza charge
Ni huku kwako tende
Najua hujapanic
Ngozi nyororo ka pancake
Nataka nikupunctuate
Na umake sure umeparticipate
Kile nataka anticipate
Take a de key ---

Ka ngurumo na radi
Kuonyesha tumeachia--
Mi natafta nikamate
Eeh izo mating
Nizichape mate
Hadi kwa ting
Ikibidi tukwamane
Kama ma (Woo woo)

Niko na pump ya baiskeli
Mafuta ni milking jelly
Safari Rally ibadilike njiru
Kukuru twangala Tom and Jerry

Dada denge
Nifuate mpira juu mi ni Kadenge
Uko na simu gani?
Charger yangu ni ya port ndogo
Schedule yako ni tight
Na mi napenda madem ni ganja

Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kuguguru-gurumisha

Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kugugurumisha 
Sema kugugurumisha Sema kuguguru-gurumisha

Watch Video

About Kugurumisha

Album : Kugurumisha (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Sep 18 , 2019

More PADI WUBON Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl