Kashkie Remix Lyrics
Kashkie Remix Lyrics by NUCLEAR
Kashkie baze leo, kashkie club
Kashkie ghetto ama area ya mapunk
Shikisha weekendi na mamorio umerank
Kaushika fiti ka una kitu kwa bank
Me say
Kashkie baze leo, kashkie club
Kashkie ghetto ama area ya mapunk
Shikisha weekendi na mamorio umerank
Kaushika fiti ka una kitu kwa bank
Cheki
Unaskia pedi niletee za chwani keja ya mi
Leo lazima wazinuse hewani
Ni ngumu kuishi na mama jirani
Na wao hudai nimejaa magwelo kichwani
Eeh, dandia nganya we hutamani
Nimenyanya nimepigilia miwani
Kuna katiaji kanadai nanuka funny
Niko machoks, kagox, majani
Eeh, hii Sahara inahitajigi some money
Na ka hulyk hizi vako bana samahani
Uko na ngapi? Mpango yako ni gani?
Hatuwezi maliza hizi maliquor kama hatuchani
Ah me say
Kashkie, kashkie wapi leo kashkie(Ooh yea yeah)
Kashkie, kashkie wapi leo kashkie(Eeeh ooh nah nah)
Kashkie, kashkie wapi leo kashkie(Ooh yea yeah)
Kashkie, kashkie wapi leo kashkie(Eeeh ooh nah nah)
Aah, cheki
Ati ni usiku gizani kuingia kejani
Na sina hadi za majani
Huku dem badoako kwa jirani
Kwanini? Ati hajatia ndani
Na kwa mbosho niko uduu Na wonder nitadu?
Ofcourse, kukosa kwenda course
Because, kudoz na ma-shh-sshh
Kubatizwa na mogoka, kuogopa kuwa hawker
Kutoka mboka nimebaki nimechoka
Nimesota mafala wamekaokota
Wakirarisa inabaki nimewaokota juu ya mboka
Sasa kufanya maboy kuondoka cheki
Kashkie baze leo, kashkie club
Kashkie ghetto ama area ya mapunk
Shikisha weekendi na mamorio umerank
Kaushika fiti ka una kitu kwa bank
Me say
Kashkie baze leo, kashkie club
Kashkie ghetto ama area ya mapunk
Shikisha weekendi na mamorio umerank
Kaushika fiti ka una kitu kwa bank
Cheki
Kashkie baze leo, kashkie club
Kashkie ghetto ama area ya mapunk
Shikisha weekendi na mamorio umerank
Kaushika fiti ukiwa na kitu kwa bank
Ah me say
Kashkie, kashkie wapi leo kashkie(Ooh yea yeah)
Kashkie, kashkie wapi leo kashkie(Eeeh ooh nah nah)
Kashkie, kashkie wapi leo kashkie(Ooh yea yeah)
Kashkie, kashkie wapi leo kashkie(Eeeh ooh nah nah)
Kashkie, kashkie wapi leo kashkie(Ooh yea yeah)
Kashkie, kashkie wapi leo kashkie(Eeeh ooh nah nah)
Kashkie, kashkie wapi leo kashkie(Ooh yea yeah)
Kashkie, kashkie wapi leo kashkie(Eeeh ooh nah nah)
Watch Video
About Kashkie Remix
More NUCLEAR Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl