Haula Lyrics
Haula Lyrics by NEDY MUSIC
Haula haula haa
Haula haula haa
Yani keupe rangi ya mtumee (shoombe)
Nasikia raha nikikatazama tazama
Furaha nilonayo sijui nikunywe (poombe)
Nakapenda leo mpaka kiama kiama mmmhh
Tukiongea na sim sitaman akate (akate)
Kwa video call ndo yanitoka mimate (mimateee weeeh)
Viungo vyake lain kama nkate (mkaaate)
Nkizama kwa chini nataman ning’ate (ning’ate weeh)
Mwenyezi atubariki mijumba tumiliki
Tuepukane na dhiki mi naweee
Haula haula haa
Haula haula haa
Girl you are my medecine
Haula haula haa
Haula haula haa
Eti amejichubua rangi shape ya uturuki
Maneno ya mkosaji hayani sio bunduki
Halafu mnaonaje kwa mfano tuzo nimpe BET haula
Na ntazi post picha zake kama tangazo IG, IG
Wanafanya mbinu zote nikwache baby
Na tunajua hawezi hao mandezi kwetu
Havafurukuti
Muda wote tunajipa hatunaga weekend oona
Natunaogopa dhambi hatucheat mi nayee
We na mi tumeumbwa kwa raha tuishi milele
Uwe namimi mpaka paradise
Haula haula haa
Haula haula haa
Girl you are my medecine
Haula haula haa
Haula haula haa
Nampenda mpenda nanii
Msichana mmoko nanii
Kwa jina simtaji nanii
Nampenda mpenda
Mwenzenu nampenda mpenda nanii
Msichana mmoko nanii
Kwa jina simtaji nanii
Naogopa mtanibia aaah
Oya weeh
Watch Video
About Haula
More NEDY MUSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl