Moyoni Lyrics
Moyoni Lyrics by BELLE 9
Nimekuweka moyoni darling
Where you are you not coming
Usinitupe mi jalali
Ooh yeah
Nimekuweka moyoni darling
Where you are you not coming
Usinitupe mi jalali
Ooh yeah
Come on
More and am running this city
Verse kali kali young Fiddy
Swing Kinyamwezi Puff Diddy
Wengi wanaagiza,
Kwako narelax yeah
I live it charming
Njera mtaani
Che che che che che...
Kachutama nampa kogo
Kainama nampa mhogo
Nimekuweka moyoni darling
Where you are you not coming
Usinitupe mi jalali
Ooh yeah
Nimekuweka moyoni darling
Where you are you not coming
Usinitupe mi jalali
Ooh yeah
Wakileta vita ya majimaji
Tunawanawa
Na hilo dera unavyonitouch
Kitu mnara
We unajua mi nataka mambo
Sasa mbona unaleta mastory
Porojo nyingi kama nyama kwa mtori
Shori
Vitu vitamu vimeshaiva
Anipe kiss tamu ka Lulu Diva
Vitu vitamu vimeshaiva
Anipe kiss tamu ka Lulu Diva
Nimekuweka moyoni darling
Where you are you not coming
Usinitupe mi jalali
Ooh yeah
Nimekuweka moyoni darling
Where you are you not coming
Usinitupe mi jalali
Ooh yeah
Che che che che che...
Kachutama nampa kogo
Kainama nampa mhogo
Watch Video
About Moyoni
More BELLE 9 Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl