NAIBOI Best Man cover image

Best Man Lyrics

Best Man Lyrics by NAIBOI


Naiboi been around for a while
Unaeza niita OG ju hawa vijana wananiita daddy
Nilisort name, sort label
Nikaget Cedo tukatengeneza career za kina nani
Still naiba roho zao ka msupa wa Illuminati
Turn to God boy unaeza dundia bahati

And hivo ndo preacher said on a light note
Niko possesed na darker days 
Nabaki rap ju marapper wanacharole
In real sense hawa marapper wanasandore

Call Naiboi niko niko one colour wee
Iko nini njoo tutengeneze salary
Ka vile marapper wako wako focused na punchlines
Mi niko focused na maright rhymes
Pale kwa corner with my swag right
Na katoto kanataka

Najiita rap damu na sirap gadamn
Feels like I led Nyash down
Sai appetite, right mind read 
Kanaeza go down down, nisipowai my crown
So drink cup baby while you sip up
Naiboi ndani ya playlist kashajipa
Bash imejaa mawrong number na vinyangarika
Simu kwa mbosho hakuna selfie pole wasupa
It go...it go, it go it go down right now
Naiboi ndo the name niko game right now
Na hao marapper wanarap tu magifts right now
I'd rather try RnB right now

Ah  niko juu ya renew unaeza niita lost boy
Huh hapa Kenya unaeza niita Naiboi
Pale Pacho unaeza niita CEO
Ka haikubambi see the door


Naamkanga ngware napiga kaswali
Nasalimia wale wanaamkia quarry
Waddup bora hustle we piga yako mi nipige yangu
Ulishe familia yako ju mi nitadoz kwangu
Si wote product moja design ndo tofauti
So narespect ule mdosi hupitia kwa mama uji
Streetkids talking bullshit kimakusudi
Akili ni nywele feelings tuliachianga Lucy

Hakuna haja uende movie nailete where you are
Ndio inaserve tu mistari kwa meza boss ni well done
Yes anytime any year nakuwanga freshman
Unadai kumarry hii game mi nitakam coz am the bestman

Niko tu na mahombizo wanapiga maombitho
Kwa kona nakuwanga ritho, chini ya maji nakuwaga mi siko
Ju akili inakuwanga iko, pale na pale napack naisizzle
Ju hawa mafala wanacheza na depo
Huoni marapper wanarap na mafinyo

Ah nahisi game imechange sidai kuwa number one
Na promoter akipiga simu bado anataka rap
Nahisi kiini macho ni vile factor ziko
Nahisi Fasad baby ni vile swagger iko 

Phobia, marapper wengine nausea
Nafanya ghapuka haimaanishi Hiphop na afya
Bado nasaka munde na maboyz wa Ethiopia
We ukidilly dally umezubalia haga ya Sofia

Uh uh am so ucouth 
Kwa meeting mi hupasha watu I'd rather keep my truth
Wakiuliza swali ka bado mi hubonganga na Tilley
Jibu ni ile ile kwani boss iko nini?

Mziki sifanyi for joke, no
Naifanya for cheque
Anajam ju mi hukula dadake deki
Na hii compe ni stiff ka ule boy amenyoji ngware kwa daro
Come down unapigania crown ya 254 

Watch Video

About Best Man

Album : Best Man (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Rong Rende
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 14 , 2020

More NAIBOI Lyrics

NAIBOI
NAIBOI
NAIBOI

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl