Kovu /Haikuwa Sawa Lyrics by MONI CENTROZONE


Simu saa nane usiku vipi unataka chapatti ?
Mama vipi umemiss mikasi ?
We ni fundi wa kil akitu vipi umechunda kwa wachati
Unafosi kukimbizana na wakati
Kaa ukijua mapenzi yetu yalinipa sana funzo
Japo tulipendana kutwa ndizi kwenye utumbo
Siku tulipoachana tulizua sana gumzo
Vijembe ukanipiga sana nyundo
Nikasema shkopaaa nilivosikia unatoka na madon
Nikawa namokaa akili yangu nikaiweka mzigoni
Nakuogopaa maana ulitaka kuntupa shimoni
Tulipotokaa unajua ni mbali majengo sokoni

Yale hayakuwa mapenzi mamaa haikuwa sawa
Mwenzako nna kidonda cha mapenzi kovu na sijapata dawa
Yale hayakuwa mapenzi mamaa haikuwa sawa
Mwenzako nna kidonda cha mapenzi kovu na sijapata dawa

Hatwa mbili unarudi nane kwenye kumi
Bila complain bila kukunja ngumi
Tryna show up ila nakuona giza
Moshi niko clean clean kama sizla
Usije dande hizi
Nitakuita mwizi
Piga bakora za mbavu mpaka michirizi
No bless, no air, no you hauko fair
Nilikupa ball na ukashindwa kuichezea
Love yangu true but for you ikapepea
Hata my crew watching you ukipotea
Nothing but fool but do you usije tokea
Kalagaa bao haina but two utazoeaa
Shauri zao wanaosema kwamba nakuonea
Shauri zao nishazoea wakiongea
Niache peke yangu mi nna mambo zangu
Nna njia zangu mi na ishu zangu am done

Yale hayakuwa mapenzi mamaa haikuwa sawa
Mwenzako nna kidonda cha mapenzi kovu na sijapata dawa
Yale hayakuwa mapenzi mamaa haikuwa sawa
Mwenzako nna kidonda cha mapenzi kovu na sijapata dawa

Ushakaa ndani ukpika na hupakua
Name sikufanya uwe kipa maana kuscore unajua
Ikafika tamati hadi tukaamua kuyatua
Sitaki hesabu mimba ngapi tulizoamua kufyatua
Kuppendana na kuchepuka timing kimachale
Namimi best friends zako wote lazma niwake
Mda mchache tu x kugenka shemu
Fanya yote ogopa sana mwanamke anaeitaka fame
Mwanzo nilitambua kwamba mapenzi yana visa
Cha pili sikutambua kwamba kuachana ni vita
Na kwa sababu un akitu basi mbali utafika
Epuka ubaya wa kashfa ama uzuei wa sifa
Hakuna tofauti kati ya donkie na zebra
Sitegemei shafti mjini hesabu aljebra
Kasura ni cha huruma ila moyoni una agenda
Nishaamua sirudi nyuma kwenda mwana kwenda

Yale hayakuwa mapenzi mamaa haikuwa sawa
Mwenzako nna kidonda cha mapenzi kovu na sijapata dawa

Watch Video

About Kovu /Haikuwa Sawa

Album : Kovu /Haikuwa Sawa (Single)
Release Year : 2023
Added By : Farida
Published : Aug 10 , 2023

More MONI CENTROZONE Lyrics

MONI CENTROZONE
MONI CENTROZONE
MONI CENTROZONE
MONI CENTROZONE

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl