Cha Mbunge Lyrics
Cha Mbunge Lyrics by MONI CENTROZONE
Na kiunoni ana gold chain
Na mi shingoni nina 2 chain
Mke wangu naomba kimoja cha mbunge
Akishatoa kitu najua anapenda cha mtume
Mtoto simple midomo ana lip gloss
So wait ni saa moja Bongo li saa moja
Nilimpata niko sina hata mkoko vichej
Wachawi wakasema nitaachwa wakabet
Zamani ya kutolea sikuwaza ilikuwa mpeto
Siku hizi tozo ziko juu ukitaka njoo ufuate ghetto
Navokula raha najiuliza who am I
Vicheche sitaki walishanipa UTI
Hio milio kama lion
Majirani kero mwaiona
Yapo nguvu tupasue mgomba
Wenye wivu leo watakoma
Hili toto ni la moto, moto moto moto
Nauwasha moto, moto moto moto
Ah napenda anavyocheza amapiano
Kila nikimuona anasema teamo
Simtaki mwingine ye ndo mi amor
Kuringa kwake kunaendana na uzuri
Asubuhi majini kina mwenzio mdalasini
Dhamani ya mwanamke sio elfu thelathini
Huyu wa sasa nikimpa marks simpi A ya themanini
Nampa tisini na tisa ibaki moja ya mwalimu
So my baby uko juu, juu ya ini kama nyonda
Ukipanda kwa juu unavyonyonga kama nyoka
Sitaki watoto wa mjini wako Sinza kama Nyola
--kutwa mzima na vijora
Hio milio kama lion
Majirani kero mwaiona
Yapo nguvu tupasue mgomba
Wenye wivu leo watakoma
Hili toto ni la moto, moto moto moto
Nauwasha moto, moto moto moto
Ah napenda anavyocheza amapiano
Kila nikimuona anasema teamo
Simtaki mwingine ye ndo mi amor
Kuringa kwake kunaendana na uzuri
Watch Video
About Cha Mbunge
More MONI CENTROZONE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl