Mwema Lyrics
Mwema Lyrics by MERCY MASIKA
Ohh wooih mmh
Wako mwana ukamtuma duniani
Kisa na maana nipate uzima jamani
Wako mwana ukamtuma duniani
Kisa na maana nipate uzima jamani
Ishaara kwamba unanipenda zaidi
Hivo nishaelewa sifa nitakupa zaidi
Ishaara kwamba unanipenda zaidi
Hivo nishaelewa sifa nitakupa zaidi
Na siwezi jizuia kusema wako wema
Sio kama najigamba umenitenda mema
Na siwezi jizuia kusema wako wema
Sio kama najigamba umenitenda mema
Umekuwa mwema kwangu
Umenitoa gizani nilipokuwa nimeshikwa mateka
Ukanipa tumaini kwako nikajificha
Sasa nitakupa nini iwe sawa na yale umetenda
Hakuna ila moyoni sifa nitakuimbia
Ilikugharimu msalabani unifie
Hivo inanibidi sifa nikuimbie
Wema wako niseme ili na wengine wakujue
Wote waungane nami na wazee ishirini na nne
Na siwezi jizuia kusema wako wema
Sio kama najigamba umenitenda mema
Na siwezi jizuia kusema wako wema
Sio kama najigamba umenitenda mema
Umekuwa mwema kwangu
Acha niringe umekuwa mwema kwangu
Oh Yahweh ooh kwangu
Oh umenitendea kwangu
Acha niimbe siwezi jizuia kusema wako wema
Sio kama najigamba umenitenda mema
Na siwezi jizuia kusema wako wema
Sio kama najigamba umenitenda mema
Na siwezi jizuia kusema wako wema
Sio kama najigamba umenitenda mema,
Na siwezi jizuia kusema wako wema,
Sio kama najigamba umenitenda mema,
Siwezi jizuia
Watch Video
About Mwema
More MERCY MASIKA Lyrics
Comments ( 1 )
Hakika when i play this song,my heart has hopeness.i agree it at one hundred % ''Nasiwezi jizuia,kusema wako wema na sio kwamba najigamba umenitenda,umekuwa mwema kwangu....'' nikupendeze,zaidi and so forth ,are my favorite playlist.{more thnks 4 all of u} be blessed 4ever and ever
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl