Bambi Lyrics by MBUZI GANG


London, London
Another what? Another banger
Fresh what? Fresh ganger
Mbuzi what? Mbuzi ganger

Zimbaka zimbaka zizizi
Ana sura ya binti na akili zii
Ni kiziwi ju akimpa ndiziski
Sitishiki hii ni kali timiki

Nikubambe inibambe tubambe, sii
----
----

Zimbaka zimbaka zizizi
Ana sura ya binti na akili zii
Ni kiziwi ju akimpa ndiziski
Sitishiki hii ni kali timiki

Ka haikubambi hainibambi, haitubambi si
Ka si ndizi matoke na nanasi
Ka si mbuzi basi mtakuna nazi
Ka si nyolo hatutaki ma hennessy

Si lazima shower nikispit nakuosha for closure
Man I have a thing for Wabosha
Hainibambi can you bubble bambee
Misitu Aliyah can you handle dhambi

Niko na ray of hope wapi Amber Rose
Ni mkamba so alidai kulamba dose
Sina kamba kutie na siezi loose
Loose note hii ni suicide note
Take notice incase mi nishushe raw
Take notice incase nikushushe roho
Take moti incase ulale fofofo
Kuna bitches chiwawa na kokoko

Zimbaka zimbaka zizizi
Ana sura ya binti na akili zii
Ni kiziwi ju akimpa ndiziski
Sitishiki hii ni kali timiki

Ka haikubambi hainibambi, haitubambi si
Ka si ndizi matoke na nanasi
Ka si mbuzi basi mtakuna nazi
Ka si nyolo hatutaki ma hennessy

Huwezi nidefeat ju funza ilishanifunza
Chunga fan wako akishanitii atakutoka
Drip ni ya kukata na shoka si nimedunga
Ex ananidai na mimi na sijaunga

Ka hunibambi siwezi waste dhambi
Usikuje form ka unajua we huchangi
Ka hujajipanga we jua we hukati
Mi hulamba ngaji tu ju chumvi si sukari

Sauti za mayolo 
Huwezi nionea hadi ukuje na digolo
Naeza roga hadi msanii arudi ocha
Mbuzi rende, rende mistari za itoka

Zimbaka zimbaka zizizi
Ana sura ya binti na akili zii
Ni kiziwi ju akimpa ndiziski
Sitishiki hii ni kali timiki

Ka haikubambi hainibambi, haitubambi si
Ka si ndizi matoke na nanasi
Ka si mbuzi basi mtakuna nazi
Ka si nyolo hatutaki ma hennessy

 

Watch Video

About Bambi

Album : Bambi (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 25 , 2021

More MBUZI GANG Lyrics

MBUZI GANG
MBUZI GANG
MBUZI GANG
MBUZI GANG

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl