
Tamu Sana Lyrics
Tamu Sana Lyrics by MAXYN
Tamu sana, tamu sana
Sidhani moyo wangu ushaskia hivi
We ndo umenifanya niskie ka nachizi
Baby nauliza tutapatana lini?
Naeza vaa dera naeza kuvalia mini
Naeza tingiza mpaka ukose kuamini
Naeza zungusha mpaka udhani ni majini
Tofauti ya kujichocha na kujiamini
----
Luo language
----
Ni tamu sana ni tamu
Ama kuna kitu unanifanya
Ju ni tamu sana ni tamu
Naona kuna kitu unanifanya
Endelea, wekelea
Endelea, wekelea
Endelea, ekelea
Ju ni tamu sana ni tamu
Mayo mayo mayo mayo
Ah ukipinda mgongo
Ah bebo bebo bebo
Hera nyoka-- loko
----
Sitobanduka
Design nalishwa mavitu ki kamasutra
Wapi natoa hii nguvu ya kukuacha
Hiki kitendawili jawabu nishapata
Jiko kamili mapenzi yamenoga
Eti baridi darasa nishavuka
Hata Nviiri aliyabaridi mbaya
Ni tamu sana ni tamu
Ama kuna kitu unanifanya
Ju ni tamu sana ni tamu
Naona kuna kitu unanifanya
Endelea, wekelea
Endelea, wekelea
Endelea, ekelea
Ju ni tamu sana ni tamu
Ni tamu sana ni tamu
Ama kuna kitu unanifanya
Ju ni tamu sana ni tamu
Naona kuna kitu unanifanya
Endelea, wekelea
Endelea, wekelea
Endelea, ekelea
Ju ni tamu sana ni tamu
Watch Video
About Tamu Sana
More MAXYN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl