MAUA SAMA Iokote Remix cover image

Iokote Remix Lyrics

Iokote Remix Lyrics by MAUA SAMA


Basi usikunje goti wala kuchechemea
Pandisha mashetani mi ndio bingwa wa kukemea
Usiombe nikila nyagi halafu nikavuta na mea
Utaniita Mr Miagi kila style unapopewa

Mi nipe sarakasi za kichina
Iokote nidate hadi niimbe mama amina
Izime switchi iokote ni kwichi kwichi
Ipime izame ndichi nyoki ni mbichi mbichi

Iokote! Tatizo mama ni nini?
Sinywagi mchuzi wa pweza
Ila pweza inaninywa mimi
Iokote! Taratibu ukiwa chini
Tena ipake na mafuta
Iwe softi ikiingia mwilini

Iokote! Kasongo miksa munene
Nikupeleke hadi bukoba
Katerero ndembe ndembe
Iokote! Wananiita mandingo mzee baba
Kwenye ulingo navunja mpaka chaga
 
Kwa kichomi nikande
Kwa moto baridi zigande
Kama ruba nigande
Tuwe wote eeh

Aah come baby come bae
Msumari kwa nyundo nigonge
Ohh Monday to Sunday, I love you

Mmm ooh basi iokote
Kwa bedi kwa kochi
Kitanda naitumia iokote
Nikiona kwa juu chini naizamia iokote

Sungura nipe karoti
Marage sijazoea iokote
Nakunja goti napandisha mori
Nachechemea

(Oooh yeah beiby, beiby)

Ukitoka kuoga nitengee, Ya moto moto
Tingaa moka kitenge, tutoke mtoko
Aah, border kwa border tutembee, chocho kwa chocho
Tena nikichoka nibebe, mi kwako mtoto (Aiyee eh) 

Ah fundi wa chemba hudambwi dambwi, aeee
Amri ya sita ni dhambi dhambi, nayee
Kileleni toa rambi rambi
Mmm mambo ni moto moto

Refa kakupa penalti ayeee
Mpira ushawekwa kati ayee
Nahitaji magoli kwa chenga zako
Piga shuti nikudakie

Haya maji wapi nimwage, kama amepigwa na shoti
Si amebandika maraga, so njoo uimenye karoti
Naona mbuzi kagoma, sasa unaikanyaga noti
Na bado hujakoma chunga, utaloa ukiichezea Coke

Kasongo miksa mundende
Nikupeleke hadi bukoba
Ka terere wa ndembe ndembe
Wananiita mandingo mzee baba
Kwenye ulingo navunja mpaka chaga

Mmm ooh basi iokote
Kwa bedi kwa kochi
Kitanda naitumia iokote
Nikiona kwa juu chini naizamia iokote

Sungura nipe karoti
Marage sijazoea iokote
Nakoza goti napandisha mori
Nachechemea

Watch Video

About Iokote Remix

Album : Iokote Remix (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 07 , 2020

More MAUA SAMA Lyrics

MAUA SAMA
MAUA SAMA
MAUA SAMA
MAUA SAMA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl