Hatua Lyrics
Hatua Lyrics by MATTAN
Huhuu huhuu huhu
Huhuu huhuu huhu
Huhuu huhuu huhu
Maisha ni hatua twahesabu
Ulipo leo kesho sipapo wahesabu
Ni nyingi hatua twahesabu
Zilizo njema bila sahau na mbaya
Uamkapo na uzima, japo shukuru
Kwani pimzi ya bure tunayotumia
Tena nuru akatupa nayo giza
Hakubagua mwema na mbaya aah
Kumbuka usijisahau
Humiliki yake mwenyezi
Na chochote unachofanya
Mshilikishe mwenyezi
Kumbuka usijisahau
Humiliki yake mwenyezi
Na chochote unachofanya
Mshilikishe mwenyezi
Huhuu huhuu huhu
Huhuu huhuu huhu
Huhuu huhuu huhu
Huhuuuu
Ooh ooh
Mmmh
Lege lege huzua njaa jitume sana
Kujiepisha matabaka mishe kufanya
Ikifika siku ya mungu twende kuswali
Kusali kusema japo asante ee asante ee
Aah asante asante mumh aa aa
Maisha ni hatua, twahesabu
Ni nyingi hatua twahesabu
Uamkapo na uzima, japo shukuru
Shukuru shukuru uu
Shukuru shukuru
Shukuru kwa mwenyezi mungu Baba aah
Watch Video
About Hatua
More MATTAN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl