Raha Lyrics
Raha Lyrics by MARIOO
Aah mmmh mmmh
Ah unaringa umepima? Aii utajiju
Huu mwaka utachina
Si ulileta unyang'au
Ukaukwi kunitishia
Unaondoka unaondoka
Kama daladala za Kariakoo
Inatoka inatoka
Hadharani unanisusia
kuropoka ropoka
Ama domo lako shimo la choo
Yanakutoka
Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka
Maana nishapata pa kuegemea
Mmmmh napendwa, na sio kwa ninavyojidekea
Hulka yako ya pupa, mwenzako ananinyenyekea
Oooh kutendwa
Nakusikia kwenye bomba
Na tena naenjoy
Mpa ka raha mpaka natakatishwa
Mpa ka raha mpaka anipaga kutwa mara tatu
Mpa ka raha mpaka naogeshwa nakandwa
Mpa ka raha mpaka na tena naenjoy
Napenda akinipa
Akinipa migandisho
Kama anapigwa shoti
Akisakata migandisho
Na kama mapenzi
Roho yake bahari
Huu muda naelea
Maana nishazamaga
Nishakufa mzoga
Na kama penzi melody kali
Mi kwake ndo burudani
Wala sidhani ka
Ataridhika kunikosa
Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka
Maana nishapata pa kuegemea
Mmmmh napendwa, na sio kwa ninavyojidekea
Hulka yako ya pupa, mwenzako ananinyenyekea
Oooh kutendwa
Nakusikia kwenye bomba
Na tena naenjoy
Mpa ka raha mpaka natakatishwa
Mpa ka raha mpaka anipaga kutwa mara tatu
Mpa ka raha mpaka naogeshwa nakandwa
Mpa ka raha mpaka na tena naenjoy
Watch Video
About Raha
More MARIOO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl