Ngongongo Lyrics
Ngongongo Lyrics by LINEX SUNDAY MJEDA
Tatizo langu mimi nawe
Haunaga msimamo
Safari ya kulia unaenda kushoto
Mtu wa tamaa ya pesa na vito
Last time I met you
Nikaona no one like you(No one like you)
Unadata unapagawa na ma Bongo Flava
Pombe ukilewa unagawa fleva
Ukajisahau
You used to be my best friend
Bora niende zangu
Nawaachia wenzangu
Sina haraka ya kutafuta mwingine
Wakukulinganisha naye
Sitakufa nikiachana nawe
Sikuzaliwa na wewe
Saa nyingine
Namiss utani, ucheshi wako
Nyuma ya spika
Ile midundo yako
Bora nikuwache,
Upite kama upepo
Au kama...
Walimopita wenzako
Nikiwaza jinsi nilivyokupenda(Ukaenda)
Hukujali maumivu makali utakayonipa(Ukaenda)
Nasema go, sitaki tena ngongongongo
Mlangoni kwangu ngongongongo ngongongongo(Ukaenda)
Nikiwaza jinsi nilivyokupenda(Ukaenda)
Hukujali maumivu makali utakayonipa(Ukaenda)
Nasema go, sitaki tena ngongongongo
Mlangoni kwangu ngongongongo ngongongongo
Nishazoea, kulala na mpenzi kuamka mdomo wazi
Amenitisha tisha, mimi hainibabaishi eeh
Wanakufa, huwa tunazika tunasahau
We ni nani uiendeshe akili yangu?
Hakuna
Ulichosahau kwangu
So miezi sipunguzi
Mi kwako sio kitu
Sina haraka ya kutafuta mwingine
Wakukulinganisha naye
Sitakufa nikiachana nawe
Sikuzaliwa na wewe
Sina kinyongo sikudai figo
Baby you better
Sitafungua milango
Ukibisha hodi
Ngongongo, ngongongo
Ngongongongo ooh ooh ooh..
Bora nikuwache
Upite kama upepo
Au kama...
Walimopita wenzako
Nikiwaza jinsi nilivyokupenda(Ukaenda)
Hukujali maumivu makali utakayonipa(Ukaenda)
Nasema go, sitaki tena ngongongongo
Mlangoni kwangu ngongongongo ngongongongo(Ukaenda)
Nikiwaza jinsi nilivyokupenda(Ukaenda)
Hukujali maumivu makali utakayonipa(Ukaenda)
Nasema go, sitaki tena ngongongongo
Mlangoni kwangu ngongongongo ngongongongo
Watch Video
About Ngongongo
More LINEX SUNDAY MJEDA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl