Kiwashe Lyrics
Kiwashe Lyrics by LINEX SUNDAY MJEDA
The VOA
Zest on the beat
Ladies and Gentlement
Temba temba, temba mama temba
Wanaume wapendeni
Wake zenu
Wanawake wanyenyekeeni
Waume zenu
Kama kwenye mechi kiwashe
Kwenye kupika kiwashe
Kwenye kujipenda kiwashe
Kote kote kiwashe
Wanaume wapendeni
Wake zenu
Wanawake wanyenyekeeni
Waume zenu
Kama kwenye mechi kiwashe
Kwenye kupika kiwashe
Kwenye kujipenda kiwashe
Kote kote kiwashe
Unapungukiwa nini kuwa mwema kwao
Mume wako unapungukiwa nini?
Kuwa mkarimu kwa mke wako
Kwa muonekano ndoa yako
Imekuwa ya furaha na tabasamu
Eey lakini ndani yako maumivu uliyonayo
Unatamani leo kesho uiache ndoa yako
Ibaki history ya wapendanao
Aah aah...
Usinione price ng'ombe si kwa mnada
Kwenye hicho chama wanaziweka dawa
Tikisa nyavu, zilinde goli
Usiwe shuhuda
Tikisa nyavu, zilinde goli
Usiwe shuhuda
Wanaume wapendeni
Wake zenu
Wanawake wanyenyekeeni
Waume zenu
Kama kwenye mechi kiwashe
Kwenye kupika kiwashe
Kwenye kujipenda kiwashe
Kote kote kiwashe
Wanaume wapendeni
Wake zenu
Wanawake wanyenyekeeni
Waume zenu
Kama kwenye mechi kiwashe
Kwenye kupika kiwashe
Kwenye kujipenda kiwashe
Kote kote kiwashe
Mapenzi matamu kukosana ndio kupatana
Umeota ndoto moja
Wewe mimi, mimi na wewe
Tusiwe familia moja
Funga mlango, fungua moyo wako
Uoga wako udhaifu wako
Kwanini mi uadui yako
Nimeumbwa kwa ajili yako
Nishajifunza kukunja samaki akiwa mbichi
Kwanini mi uadui yako
Nimeumbwa kwa ajili yako
Everybody is so beautiful
But I was amazing
Unatamani leo kesho uiache ndoa yako
Ibaki history ya wapendanao
Aah aah...
Usinione price ng'ombe si kwa mnada
Kwenye hicho chama wanaziweka dawa
Tikisa nyavu, zilinde goli
Usiwe shuhuda
Tikisa nyavu, zilinde goli
Usiwe shuhuda
Wanaume wapendeni
Wake zenu
Wanawake wanyenyekeeni
Waume zenu
Kama kwenye mechi kiwashe
Kwenye kupika kiwashe
Kwenye kujipenda kiwashe
Kote kote kiwashe
Wanaume wapendeni
Wake zenu
Wanawake wanyenyekeeni
Waume zenu
Kama kwenye mechi kiwashe
Kwenye kupika kiwashe
Kwenye kujipenda kiwashe
Kote kote kiwashe
Watch Video
About Kiwashe
More lyrics from Dunia Nyingine (EP) album
More LINEX SUNDAY MJEDA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl