Wamepagawa Lyrics by LAVA LAVA


Oooh ooh wapinzani wamepagawa
Oooh ooh wamepagawa
Oooh ooh wapinzani wamepagawa
Oooh ooh wamepagawa

(Ngatale Music)

Ooooh, aaah...

Wamepegawa ooh, 
Wamepepagawa
Wapinzani wamepagawa
Wamepepagawa

Wilaya zote zishajengwa hospitali
Mikoani kote zahanati ziko tayari
Vitanda, damu na vifaa mbali mbali
Huduma za afya tunapata hatuendi mbali

Ona wamepagawa
Wapinzani wamepagawa 
Wamepagawa

Magufuli nakupa sifa
Miradi ya maji imekamilika
Barabara nazo zapitika
Treni za kimataifa

Wamepagawa
Wapinzani wamepagawa 
Wamepagawa

Tunapata umeme hadi vijijini
Tumejenga masoko hadi ya madini
Sasa tunapata ajira sisi masikini
Wapinzani wanazirai tuwape nini?

Wamepagawa, wamepagawa
Wapinzani wamepagawa 

Magufuli ufanye kipi kizuri baba
Elimu bure hatulipi ada
Umejenga flyover madaraja
Fursa kwa vijana tusije kaba

Wamepagawa
Wapinzani wamepagawa
Wamepagawa

Dr Ali Mohamed Isien
Na mheshimiwa Hanson Mwakiembe
Magufuli, Baba, Baba kigen Makonda
Wapi Kassim Majaliwa?

Msalimie sana Chifu wangwala
Wanangu wa TCM, Wanangu wa TCM
Waambieni wapinzani 
Mwaka huu wameyakanyaga

Yaani wameyachimba
Hiki ndo chama cha mapinduzi
Hapa kazi tuu

Wanaitaka kwio, Wana hela kwio?
Eti wana Dola kwio, waende wakalale kwio
Kwio io, io kwiyo, kwiyoyo kwema kwio
Wewe hatare piga kelele kwa CCM yakee (Weweee)

CCM tunalicheza vanga (Vanga!)
Oooh jamani vanga (Vanga!)
CCM vanga (Vanga!)
Tunalicheza vanga (Vanga!)

Eti tunalicheza vanga (Vanga!)
CCM vanga (Vanga!)
Tunalicheza vanga (Vanga!)
CCM vanga (Vanga!)

Mzuka ukipanda navua shati naeka juu 
Au vya mapinzani, wataisoma mwaka huu
Mzuka ukipanda navua shati naeka juu 
Au vya mapinzani, wataisoma mwaka huu

Navua shati naeka juu 
Wataisoma mwaka huu
Navua shati naeka juu 
Wataisoma mwaka huu

Navua shati naeka juu 
Wataisoma mwaka huu
Navua shati naeka juu 
Wataisoma mwaka huu

Basi kimewaponza kiranga
Wamebaki wamenuna
Kimewaponza kiranga
Wamebaki wamenuna

Magu ameyabananga
Ona wamevuma
Magu ameyabananga
Ona wamevuma

Na CCM tetema, wee tetea
Mama Samia tetema, wee tetea
Mashiruali tetema, wee tetea
Na Pole Pole tetema, wee tetea

(Meja ngoja kwanza, ngoja kwanza)

Twende kuku kishingo, wee kishingo
Twende kuku kishingo, wee kishingo
Twende kuku kishingo, wee kishingo
Wahuni kuku kishingo, wee kishingo

Watch Video

About Wamepagawa

Album : Wamepagawa (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 10 , 2020

More LAVA LAVA Lyrics

LAVA LAVA
LAVA LAVA
LAVA LAVA
LAVA LAVA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl