Sweet (Remix) Lyrics
Sweet (Remix) Lyrics by KUSAH
Ntakupenda siku zangu za uhai wote
Ntakucare upate kitu japo sio vyota
Mama mtu pao tu wakikuita mento
Rungu shika hata beto kaba mpaka kivuti
Beki flani mwamnyeto heko now sipigi nyeto
Mama yenu ananizumgusha kota
Bruno flani shevishenko
Mtoto nazi motto tui
Mtoto kifuani ndui
Babe flani adui yee sio ex wangu
Shanga nyingi atafu kukulana hajui
Ntakupenda siku zangu za uhai wote
Ntakucare upate kitu japo sio vyota
Ntakupenda siku zangu za uhai wote
Ntakucare upate kitu japo sio vyota
This love sweet sweet sweet
Tamu kama shuga, sweet sweet sweet
Tamu kama pipi sweet sweet sweet
Tamu kama asali sweet sweet sweet
Ooh this love sweet sweet sweet
Tamu kama shuga, sweet sweet sweet
Tamu kama pipi sweet sweet sweet
Tamu kama asali sweet sweet sweet
Eh mama ebu njoo nyumbani
Nataka tucheze micheze ya body kwa body
Ukitaka kufika kileleni
Ntakufikisha napita mandela road
Natukiwa chumbani eeh
Nafungulia ka mziki eeh
Alafu navua boxer
Maana wee haupendi pikipiki
Kama mapenzi safari mama agiza Hennessey
Ntakupa vyote ila siwezi kukupa stress
Achana na hao wanaosema napiga kessy
Habari za moto moto zitatuunguzia gazeti
Ntakupenda siku zangu za uhai wote
Ntakucare upate kitu japo sio vyota
Ntakupenda siku zangu za uhai wote
Ntakucare upate kitu japo sio vyota
This love sweet sweet sweet
Tamu kama shuga, sweet sweet sweet
Tamu kama pipi sweet sweet sweet
Tamu kama asali sweet sweet sweet
Ooh this love sweet sweet sweet
Tamu kama shuga, sweet sweet sweet
Tamu kama pipi sweet sweet sweet
Tamu kama asali sweet sweet sweet
Yoow
Ilibidi nitoke jasho
Ilibidi upigwe msako kukupata wewe mama mtu
Ilibidi ni hasso
Nishamaliza apo chako change change chako
Wanaosema tutaachana mama aminaa
Oyaa ukipika ntapakua
Na kama ikiloana ntakamua
Pumba ntachambua me
Ntaingiza bill mama mtu ukilipanua
Ntakupenda siku zangu za uhai wote
Ntakucare upate kitu japo sio vyota
Ntakupenda siku zangu za uhai wote
Ntakucare upate kitu japo sio vyota
This love sweet sweet sweet
Tamu kama shuga, sweet sweet sweet
Tamu kama pipi sweet sweet sweet
Tamu kama asali sweet sweet sweet
Ooh this love sweet sweet sweet
Tamu kama shuga, sweet sweet sweet
Tamu kama pipi sweet sweet sweet
Tamu kama asali sweet sweet sweet
Watch Video
About Sweet (Remix)
More KUSAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl