Ma Liar Lyrics by KRISTOFF


Una bibi nyumbani na bado unadai kutesa
Wacha uma liar, wacha umaliar
Unaniitisha fare na unakosa kukam unadhani ni fair?
Wacha uma liar, wacha umaliar

Zao ni ma car hire
Zao ni ma kukopa na hawananga hata haya
Saa ya kurudisha wote wameretire
Hao ni madingo unaweza eka tyre
Hao ni maliar

Nikiwa mkidi nilikuwa nasimamia viti 
Ndo watu wazima wakae
Na siku hizi watoto wanapanda miti
Utadhani Wangari Mathai

Mafinje mapeni business daily
Wanafungua buti awalipe madeni
Hao ni ma liar, you're lying
Ma lair, stop lying

Kazi ni kukula tu, wacha uma liar
Kazi ni kunyamba tu, wacha uma liar
Hamnanga hata kakitu, wacha uma liar
Stop lying

Una bibi nyumbani na bado unadai kutesa
Wacha uma liar, wacha umaliar
Unaniitisha fare na unakosa kukam unadhani ni fair?
Wacha uma liar, wacha umaliar

Liar Liar bands on fire
Tumepanda ndege tumeshukia ulaya
Na tweng ka Laureen, accent iko sawa
Akisema irain, jua ni ma liar

Na niko jikoni tunacheki tu matoast
Pale kwa gram wanagossip 
Mbele ya misa na maboss
Ndio malaya  wa manoti

Kazi ni kukula tu, wacha uma liar
Kazi ni kunyamba tu, wacha uma liar
Hamnanga hata kakitu, wacha uma liar
Stop lying

Una bibi nyumbani na bado unadai kutesa
Wacha uma liar, wacha umaliar
Unaniitisha fare na unakosa kukam unadhani ni fair?
Wacha uma liar, wacha umaliar

Una bibi nyumbani na bado unadai kutesa
Wacha uma liar, wacha umaliar
Unaniitisha fare na unakosa kukam unadhani ni fair?
Wacha uma liar, wacha umaliar

Watch Video

About Ma Liar

Album : Ma Liar (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 06 , 2021

More KRISTOFF Lyrics

KRISTOFF
KRISTOFF

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl