Nakupenda CCM Lyrics
Nakupenda CCM Lyrics by KONKI 3 MASTER
Nakupenda chama changu CCM
Nakupenda chama changu CCM
Tikisa, chama cha kweli
Tikisa, amani ya kweli
Nakupenda chama changu CCM
Nakupenda chama changu CCM
Tikisa, chama cha kweli
Tikisa, amani ya kweli
Chama changu chama cha ukweli
Nadata yako rangi ya kijani
Wanga wanakesha aminia
Kamwe hawategui kitendawili
Kamwe hawategui kitendawili
We ni -- marashi
Wanifanya ninukie nivutie
Chama bora usiepanda vita
Moyo wangu umeridhia
Moyo wangu umeridhia
Kwangu wewe kwangu ni kioo
Ndani yako chama najitazama
Kama kekepa soka sina jinsi
Ni mateso bila chuki
Ni mateso bila chuki
Kama ni mkono wa mtu wala niwe
Kama ni Mungu basi atukuzwe
Heri yangu nami nife
Bila wewe siwezi ishi
Kura yangu, CCM
Kura yangu, CCM
Kura yangu, CCM
Nyonga beiby naweza
Wapinzani hawawezi
Nyonga beiby naweza
Wapinzani hawawezi
Nakupenda chama changu CCM
Nakupenda chama changu CCM
Tikisa, chama cha kweli
Tikisa, amani ya kweli
Nakupenda chama changu CCM
Nakupenda chama changu CCM
Tikisa, chama cha kweli
Tikisa, amani ya kweli
We mjanja si mpole mpole
Nimesemeka nimekufa nimeoza
Rangi nzuri njano na kijani
Rangi zako tight si utani
Nimedata nawe waridi
Nimedata nawe waridi
Nakusifu sana chama langu
Unavyoringa na wako uzuri
Wachukia rushwa mafisadi
Najua unaelewa, wapinzani hawaelewi
CCM ni sawa na meli
Imebeba wengi Tanzania
Wapinzani ni sawa na gari
Kubeba mizigo sawa na tani
Wakizidisha wanachoka kongoroka
Wakizidisha wanachoka kongoroka
Wapo waliohamia upinzani
Wameyaona machafu si utani
Ukabila chati si utani
Wapinzani hoi taabani
Wanachama wametoweka
Wanachama wametoweka
Simika mzizi, CCM
Simika mzizi, CCM
Simika mzizi, CCM
Simika mzizi, CCM
Nakupenda chama changu CCM
Nakupenda chama changu CCM
Tikisa, chama cha kweli
Tikisa, amani ya kweli
Nakupenda chama changu CCM
Nakupenda chama changu CCM
Tikisa, chama cha kweli
Tikisa, amani ya kweli
Watch Video
About Nakupenda CCM
More KONKI 3 MASTER Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl