DODOMA Lyrics by KING KAKA


[H_art The Band]
Hello… Hello… Rabbit! Hello… Hello
Mmm..na na na na
Mmmmmm..mmm..aaaaaah..aaahhh..
Ulienda..Uliendaaa Na vile naonelea
Hizi picha ntabaki nazo Akilini Betty
Uliendaa..Ulienda
Natamani Niweze Amka kutoka ndotoni nigeuze story

[VERSE 1: King Kaka]
Kwanini umerudi? Si ungeenda kabisa
Mtaa gani unaenda Niko willing kulipa visa
Hivo ndo nilikuwa najichocha moyoni  
Even though nilikuwa nakuota usiku zote ndotoni
Vile umerudi inadhani ni sikukuu  
Hatukuzaa na wewe so majuto sio mjukuu
Ngoja,najuaje wee ni wewe Na mimi ni mimi?
Ungenigeuza ratili ndio nijue haunipimi
Mbinguni uskiza wakati sinner Ataanza kuongea
Akaniambia nitoke haraka juu nilikuwa na sakwa
 na wale Wachagga kuhusu zile chapa
So mimi huyo Mbio bila ata Hoja , Mbio hadi Koja  
Fare ni soo moja hii tension yote,nikachapa njugu na soda
Dere si uende Betty alinishow nishuke hiyo mtaa hapo Kimende
Kwa Njia najikashifu,Mbona nipende
Kufika napata ile number ata ni mteja  
Kwanini tena,tunacheza chenga
Na Huyu Betty Ameenda?nkt

[CHORUS: H_ART the BAND]
Ulienda(Uliendaaa)..Uliendaaa (U-li-ee-ndaa-aa)
Na vile naonelea (aaaaaaahhh)
Hizi picha ntabaki nazo (Betty) Akilini Ma
Uliendaa (uliendaaa) Ulienda(U-lie-endaaaa)
Natamani Niweze Amka kutoka ndotoni nigeuze story (Betty)
Ulienda mbali We Be(Betty)Be(Betty)
Be(Betty) Betty (Betty) Betty(Betty) Uliendaaaaaaaa
Eee-Be(Betty) Betty(ulienda mbali wee)
Be(Betty) (ulienda mbali we)Be(Betty)
Be(Betty) Be(Betty Uliendaaaaaa)

[VERSE 2: King Kaka]
Ubaya batt yangu yangu inasema 2%
Nikiulizwa nafanya nini hapo nimetupa sense
Kivuli yangu siamini kila mtu suspicious  
Fear ni dark room mahali negative zinadevelop
Patience yangu ikaisha na Betty akawa Kero  
Hapo ndio nikaskia chuma baridi kwa mgongo
Akawhisper Turn around tu mdogo
Ile uoga nilikuwa nayo matumbo inatingikanga
Alikuwa my Betty kwa Ngepa na madigaga
Leta Simu yako na smile ni kaa tuko Sawa  
Rabbit,jua ni vile nakupenda sana
Akarudisha gun,Akaiseti kwa mbosho
Simu yangu akaichukua akapee a random shosho
Akadai ni love yetu iko Kwa test  
Maswali baadaye ati tuingie kwa basi next
After 2NK kakakam Eldoret express
Since wale Wachagga pia wanataka kututenda
Wakafika Kimende wanapata tushaenda -Kitambo

[CHORUS]
Ulienda(Uliendaaa)..Uliendaaa(U-li-ee-ndaa-aa)
Na vile naonelea(aaaaaaahhh)
Hizi picha ntabaki nazo (Betty) Akilini Ma
Uliendaa(uliendaaa) Ulienda(U-lie-endaaaa)
Natamani Niweze Amka kutoka ndotoni nigeuze story(Betty)
Ulienda mbali We Be(Betty)Be(Betty) Be(Betty)
Betty (Betty) Betty(Betty) Uliendaaaaaaaa
Eee-Be(Betty) Betty(ulienda mbali wee)
Be(Betty) (ulienda mbali we)Be(Betty)
Be(Betty) Be(Betty Uliendaaaaaa)

[VERSE 3]
Wacha vile Swali moja inakuanga mbesha Shigana  
Nilikuwa nazo mingi ni ulimi imeshikana
Unaeza toa Monkey kwa Mgongo lakini circus bado iko
Ata ningejam aje,Love bado iko
Tukafika Kisumu Around 5.40 uchovu Vic Hotel tukabook Room 340
But alikuwa mtu mwingine tu Anaitwa Betty
Anafanana na Yule nilikuwa nimemdeady
After 10 minutes,Akadai hatuwezi Lala Hapa
Flight to Nai tukashika barabara sio Anasa I drive to Mombasa
 ako na hoodie na sport shoes ndio viatu
Wasiwasi yake na Simu kaa tatu
Can’t believe Ati ni yee alikuwa anadrive-Drive me crazy tukafika sunrise
Do not disturb Kwa mlango Mi nikalala  
Akaanza Si tuongee na mi nishadoze  
Namshow Betty Manze..Unanibore
Nikaskia Bonge la Bare
(Betty Betty Gani Enda ukaoshe Choo Stupid)

[CHORUS]
Ulienda(Uliendaaa)..Uliendaaa(U-li-ee-ndaa-aa)
Na vile naonelea(aaaaaaahhh)
Hizi picha ntabaki nazo (Betty) Akilini Ma
Uliendaa(uliendaaa) Ulienda(U-lie-endaaaa)
Natamani Niweze Amka kutoka ndotoni nigeuze story(Betty)
Ulienda mbali We Be(Betty)Be(Betty)
Be(Betty) Betty (Betty) Betty(Betty) Uliendaaaaaaaa
Eee-Be(Betty) Betty(ulienda mbali wee)
Be(Betty) (ulienda mbali we)Be(Betty)
Be(Betty) Be(Betty Uliendaaaaaa)

 

Watch Video

About DODOMA

Album : Eastlando Royalty (Album)
Release Year : 2018
Added By : Afrika Lyrics
Published : Dec 13 , 2018

More KING KAKA Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl