DODOMA 2 Lyrics
DODOMA 2 Lyrics by KING KAKA
Kwanini umerudi? Si ungeenda kabisa
Mtaa gani unaenda Niko willing kulipa visa
Hivo ndo nilikuwa najichocha moyoni
Even though nilikuwa nakuota usiku zote ndotoni
Vile umerudi inadhani ni sikukuu
Hatukuzaa na wewe so majuto sio mjukuu
Ngoja,najuaje wee ni wewe Na mimi ni mimi?
Ungenigeuza ratili ndio nijue haunipimi
Mbinguni uskiza wakati sinner Ataanza kuongea
Akaniambia nitoke haraka juu nilikuwa na sakwa
na wale Wachagga kuhusu zile chapa
So mimi huyo Mbio bila ata Hoja , Mbio hadi Koja
Fare ni soo moja hii tension yote,nikachapa njugu na soda
Dere si uende Betty alinishow nishuke hiyo mtaa hapo Kimende
Kwa Njia najikashifu,Mbona nipende
Kufika napata ile number ata ni mteja
Kwanini tena,tunacheza chenga
Na Huyu Betty Ameenda?nkt
Ubaya batt yangu yangu inasema 2%
Nikiulizwa nafanya nini hapo nimetupa sense
Kivuli yangu siamini kila mtu suspicious
Fear ni dark room mahali negative zinadevelop
Patience yangu ikaisha na Betty akawa Kero
Hapo ndio nikaskia chuma baridi kwa mgongo
Akawhisper Turn around tu mdogo
Ile uoga nilikuwa nayo matumbo inatingikanga
Alikuwa my Betty kwa Ngepa na madigaga
Leta Simu yako na smile ni kaa tuko Sawa
Rabbit,jua ni vile nakupenda sana
Akarudisha gun,Akaiseti kwa mbosho
Simu yangu akaichukua akapee a random shosho
Akadai ni love yetu iko Kwa test
Maswali baadaye ati tuingie kwa basi next
After 2NK kakakam Eldoret express
Since wale Wachagga pia wanataka kututenda
Wakafika Kimende wanapata tushaenda -Kitambo
Watch Video
About DODOMA 2
More KING KAKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl