Kenya One Tribe Lyrics by JUA CALI


Kenya ni baba, Kenya ni mama
Umenichunga nakupenda sana
Jamhuri day kila kitu sawa
Ni feeling poa kujitawala

Future imeng'ara kama kawa
Jua imewaka tena sana
Wagenge wote wanajivunia
Kenye yetu bado tunaiaminia

[Stevo Simple Boy]
Kenya ni namba moja, Kenya tunaongoza
Wengine wanafuata Mola anatulinda
Tuko imara kama simba
Kila kitu gooda, good-a
Au sio ndo maanake

[Maandy]
Ah mi najivunia kuwa mkenya
Tuna mengi na zote tunazipenda
Uwe kijana ama mama mboga
Ni nan atazidi kuijenga
Ni mimi, ni wewe ni sisi ni sotee

Wakenya twende aah (Aaah)
Wakenye twende eeh (Eeh)
Na kama inakubamba simama katika
It's all about love one tribe daima

Wakenya twende aah (Aaah)
Wakenye twende eeh (Eeh)
Na kama inakubamba simama katika
It's all about love one tribe daima

[Smady Tings]
Tunabeba medali tukisafisha
Mirista wholippa kutoka enzi za E-sir
Walimeda hizi rima kuja idra 
Ni mnyake inachezea kwa dibla
Ma ayela kila rangi ya kinia
254 tukiadisia 

[Benzema]
Kenya nchi yetu ni noma
Kuna wenye love yetu haina makosa
Kitu poa ni watoto wanasoma
Main meal ni ugali na kamboga
1963 tuligoma, 2021 tunagoma

[Guzman]
Sisi wakenya lazima tuelewane lazima tuelimishane
Lazima tuelemishane, Lazima tuheshimiane 
Ndio tukanaji mariai 254 tuzidi lembe 
Hanaku kurudi manyu napenda rima ya mine

Kibra ni ngira ya mine
Na ngife izidi high
Na ju mi ni mnyake lazima mi na shine

[Militan]
Nashukuru Jah kwa amani Kenya yetu
Tupendane tujengane tuadisie
Rodi zetu sai lane ziko mbwegze
Viongozi wetu wape nguvu watujenga
Jeshi yetu wape nguvu watulinde
Kila yut apate mboka ajijenga
Wakenya wote nawatakia mablessings
(Nawatakia mablessings)

Wakenya twende aah (Aaah)
Wakenye twende eeh (Eeh)
Na kama inakubamba simama katika
It's all about love one tribe daima

Wakenya twende aah (Aaah)
Wakenye twende eeh (Eeh)
Na kama inakubamba simama katika
It's all about love one tribe daima

[Odi wa Muranga]
Kenyatta, Kaggia, Kubai na Oneko
Walifanya Kenya tupate uhuru
So tupendane tuishi kwa undugu
Amani na upendo tukimwomba Mungu

Ametupa mbuga za wanyama
Na wachezaji ka Victor Wanyama
Kina Kipchoge wakitokanga siaka
Mola tulinde miaka na mikaka

[Femi One]
Niko rada ki soldier
Bendera ikidondoka na ikipanda
Mbogi ni true, mamorio, mandugu na madada
Wera tunaisukuma vile inafaa
Kila wiki tunajenga jina
Mwili vile si hujenga nchi
Mtaa yenu iko sawa
Pia karibu huku kwetu

Nazidi ukizidi ndio tufike juu kimoja
Skia utamu ya kukua Mkenya daima vile inaonja
Aii, Femi Unooo, Vunulu

[Parroty]
Najivunia sana bidii yetu jasho yetu
Na Kenya mi sihamo na sihami
Na sitachoka kupeperusha bendera yetu
Na barabara yetu si ni nywee nywee nywee
Wasupa wetu si ni nywee nywee 
Tusonge mbele ju maisha nywee nywee nywee

[Zzero Sufuri]
Leo mi naskia tu kujinyc
Jamhuri inanyc
It's all about love, one tribe
Hii ni debe sisi wote
Na itubambe si wote
Kupiga kura msikose
Round ingine tusitete
Tuhakikishe kila kitu fiti

Hamsini kwetu ni fifty
Home si ndio best hadi ukienda East West
Tuko on track skiza beat ni latest

Wakenya twende aah (Aaah)
Wakenye twende eeh (Eeh)
Na kama inakubamba simama katika
It's all about love one tribe daima

Wakenya twende aah (Aaah)
Wakenye twende eeh (Eeh)
Na kama inakubamba simama katika
It's all about love one tribe daima

Watch Video

About Kenya One Tribe

Album : Kenya One Tribe (Compilation)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 PPMC
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 17 , 2021

More JUA CALI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl