Mataifa Yakujue Lyrics
Mataifa Yakujue Lyrics by JOHN LISU
Kabla ya misingi kuweko
Ulikuwepo Bwana
Kabla ya vilindi kuwepo
Ulikuwepo Bwana
Oooh, oooh
Kabla ya jua na mwezi
Ulinifanya ukanichagua
Ili nikuabudu wewe
Mataifa yakujue wewe ni Bwana
Mataifa na yajue unamiliki
Mataifa yakujue wewe ni Bwana
Mataifa na yajue unamiliki
Twakuabudu wewe pekee unastahili
Twakuabudu wewe pekee unamiliki
Twakuinua wewe pekee unastahili
Twakuinua wewe pekee unamiliki
Oooh...oooh
Oooh...oooh
Oooh...oooh
Haleluya Haleluya Haleluya
Wewe ni Bwana hakuna kama wewe
Haleluya Haleluya Haleluya
Haleluya Haleluya Haleluya
Haleluya Haleluya Haleluya
Haleluya Haleluya Haleluya
Watch Video
About Mataifa Yakujue
More JOHN LISU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl