IYANII Valentines Anthem (Tukutane Kwa Bar ) cover image

Valentines Anthem (Tukutane Kwa Bar ) Lyrics

Valentines Anthem (Tukutane Kwa Bar ) Lyrics by IYANII


Kwa majina ni Iyanii na niko na choir
Inataka sauti ya juu, tukutane kwa bar
Na ndugu zangu je sauti ya katikati
Tukutane bar

February 14, ni siku mbaya
Kama hauna mchumba, ni siku mbaya
Kama hauna 
14, ni siku mbaya
Kama hauna mchumba, ni siku mbaya
Kama hauna

Kwa wale hawana wapenzi, tukutane kwa bar
Wale fare zitakulwa, tukutane kwa bar
Wale simu watazimiwa, tukutane kwa bar
Ka uko na madem wawili, utashikwa baba

Hii ni ya wale wote, hawana wapenzi
Siku ni ya kupendana lakini tuko lonely
Lonely lonely, lonely lone lonely
Lonely lonely, lonely lone lonely
Lonely lonely, lonely lone lonely
Lonely lonely, lonely lone lonely

February February ni mwezi mbaya
Kwa wale hawana wachumba ni mbaya

 

Watch Video

About Valentines Anthem (Tukutane Kwa Bar )

Album : Valentines Anthem (Tukutane Kwa Bar ) (Single)
Release Year : 2022
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 16 , 2022

More IYANII Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl