Furaha Remix Lyrics
Furaha Remix Lyrics by IYANII
Furaha ni kuwa na marafiki
Furaha ni kulewa na marafiki
Furaha ni kuwa na marafiki (onana)
Furaha ni kulewa na marafiki
Ninapo timba maguu wanajua kondeboy kaingia
Ma brother na ma sister duu kunyweni bili zote me nitalipia
Holla stress for what stress for who
Tugonge glass na mikono juu
Stress for what, stress for who
Si tunachoma nyasi una mimoshi juu
Ka madeni yapo na hayawezi kwisha
Hizo za kunana nuna unayafupisha maisha
Waiter leta me sichagui sibagui (hayaya)
Atae nizika simjui
Sisi ni marafiki sio maadui
Ila bili anae lipa simjui oh oh
Furaha ni kuwa na marafiki
Furaha ni kulewa na marafiki
Furaha ni kuwa na marafiki
Furaha ni kulewa na marafiki
Peeeem mpelele (iyanii)
Pem pempelelele (iyanii)
Peeeem mpelele (iyanii)
Pem pempelelele (iyanii)
Comlet power (power)
Comlet power (power)
Kwa sherehe tumefika (sherehe tumefika)
Kwa sherehe tumefika (sherehe tumefika)
Familia iko ndani (ndani)
Wote tunajibamba
Marifiki majirani (rani)
Wote tunajibamba
I am happy today, so happy
I am happy today, so happy
Sisi ni walevi (Sisi ni walevi )
Tunapenda kamnyweso (Tunapenda kamnyweso )
Sisi ni walevi (Sisi ni walevi )
Tunapenda kamnyweso (Tunapenda kamnyweso )
Furaha ni kuwa na marafiki
Furaha ni kulewa na marafiki
Furaha ni kuwa na marafiki
Furaha ni kulewa na marafiki
Ayiiiii
Mnanibamba mbayaaaaa
Awooote
Tiki taka tiki taka
Nheee
Tiki taka tiki taka
Furaha ni kuwa na marafiki
Furaha ni kulewa na marafiki
Furaha ni kuwa na marafiki
Furaha ni kulewa na marafiki
Watch Video
About Furaha Remix
More IYANII Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl