
Gere Lyrics
...
Gere Lyrics by HEMEDY PHD
Umetukuka mama
Nasema we penzi bora
Bajitamba mba
Hata mkisema kwako
Nimetia nanga, nga
Hili penzi nalipenda
Napagawa heey
Baby ukisimama, mama
Mwendo kama twiga
Huku unaringa nganga
Achana nao wasema mshamba nakupendaga
Sina pa kwenda mpaka uchukuliwe heeeeyyyy
Nasema wana, wananiona geree
Wakiniona wananionea gereeeee
Nasema wana, wananiona geree
Wakiniona wananionea gereeeee
Tururu, tururu, tururu, ruuuuru
Tururu, ruru, turu, ruru, ruruuuu
Tururu, ruru, turu, ruru, ruruuuu
Aliniacha bila huruma na
Matusi akanishusha thamani
Na yote sasa nimeacha nyuma
Mapenzi unanipa amani
Aaaaaahhh baby
Nakuwaza daily
Aaaaaahhh crazy
Hili penzi deadly
Aaaaaahhh baby
Nakuwaza daily
Aaaaaahhh crazy
Hili penzi deadly
Nasema wana, wananiona geree
Wakiniona wananionea gereeeee
Nasema wana, wananiona geree
Wakiniona wananionea gereeeee
Tururu, tururu, tururu, ruuuuru
Tururu, ruru, turu, ruru, ruruuuu
Tururu, ruru, turu, ruru, ruruuuu
Watch Video
About Gere
More HEMEDY PHD Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl