Teka Lyrics
Teka Lyrics by HAMO PROF
Kusema ukweli umeniwahi nafurahi sitalie
I just wanna be by your side
Na sijali ka nitafight-ia uhai
Nitadie nikitry kukuwahi walai
Kiuno cha nyingu, sani nitadu
Ooh my baby boo umeniweka juu
Nakuabudu sifa ziko juu
Roho pia ni true, I wanna do you do
Ningekuwa na uwezo wee
Ningeuiba moyo wee
Niujaze na upendo wee
Niufiche mbali nawee
Wale wale wa maskendo wee
Tuwachuje kwa mchezo
Umeniteka baby walai sina langu
Umeniteka baby, umeniteka baby
Mi kipofu mbele yako
Umeniteka baby walai sina langu
Niko na idea, nataka kuchapia
Am looking for a dear natafuta my dear
Ndio maana niko clear na sijakunywa beer
So baby pull a chair, shika glass alafu cheers
I don't know why I choose you
Baby come close we can stick like glue
I don't wanna play games with you
Baby ninajua ligi yako iko juu
We haffi pull and go just for you
Me no need no bad mind come close to you
Mi najua nina uwezo wee, nitakuvisha kapete wee
Karibia sa nikupende, niko ready kuleta ng'ombe
Umeniteka baby walai sina langu
Umeniteka baby, umeniteka baby
Mi kipofu mbele yako
Umeniteka baby walai sina langu
Ningekuwa na uwezo wee
Ningeuiba moyo wee
Niujaze na upendo wee
Niufiche mbali nawee
Karibia sa nikupende
Niko ready kuleta ng'ombe
Umeniteka baby walai sina langu
Umeniteka baby, umeniteka baby
Mi kipofu mbele yako
Umeniteka baby walai sina langu
Watch Video
About Teka
More HAMO PROF Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl