
Nisambazie Lyrics
...
Nisambazie Lyrics by HAMIS BSS
Iyeeh
Lolo
Naitwa Bwaka
Tafaran tash mabusu ya kila saa
Sina kizungu zungu kanituliza nimeja
Kwake kama zuzu kila anacho sema sawa
Siwezi sema mengine mimi ana nichanganya
Wololo lololooo
Baby naona raha kukosa ni karaha wewe
Siwezi shinda njaa wakati chakula changu ni wewe
Baby naona raha kukosa ni karaha wewe
Siwezi shinda njaa wakati chakula changu ni wewe
Tulimwagilie penzi nisambazie raha peke yangu siwezi
Ninogeshe na mapenzi usinipe karaha
Oonh baby oonh ndio maana
Mwingine mi sitaki nakutaka wewe apo
Kwingine mi siwazi nakuwaza wewe
Mwingine mi sitaki nakutaka wewe apo
Kwingine mi siendi nakufata wewe apo
Oonh
Ata sisemi ndio nishakuwa hivi tunapenda sisi
Nishakula nyama mbichi kipenda roho
Nikihisi baridi yeye ndio kumbato akihisi joto namfuta jasho
Siwafichi ameshika kunako ataki marafiki anajua kikulacho
Tulimwagilie penzi nisambazie raha peke yangu siwezi
Ninogeshe na mapenzi usinipe karaha
Oonh baby oonh ndio maana
Mwingine mi sitaki nakutaka wewe apo
Kwingine mi siwazi nakuwaza wewe
Mwingine mi sitaki nakutaka wewe apo
Kwingine mi siendi nakufata wewe apo
Watch Video
About Nisambazie
More HAMIS BSS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl