KILLY Mwisho cover image

Mwisho Lyrics

Mwisho Lyrics by KILLY


Ukweli mama unauficha tena unaniruka kando
Usijitetee,ajali kila kukicha x wako yanamtoka mafumbo ili unipotee
Kweli mnatumiana picha tena anakuunganisha bundle ili mnitetee
ndo maana havikauki visa au labda nijirudishe jando nkajitetee  (aaaah)
Kumbe kimya kimya anachachua maana unavyomsifiaga kwa insta
Unaniona kima unajichetua eti nlikulazimishaga unapita
Umenizima umenibidua sidhani hata ka nshakunjaga aah ndita
Nishakupima nimekugundua na hili nlishalipigaga aah vita

Hakuna marefu yasiyo na aaaah mwisho mwisho ooh  (lololo aah...!!)
Yani bora tufanye iwe mwisho mwisho ooh (tusiendelee aah....!!!)
Basi nimeshindwa mie mwisho mwisho ooh
Yani ni bora iwe mwisho (mwisho mwisho oooh) aah mwiiiiiiiiiiiii

Maumivu moyo wangu una maumivu uuuh vidonda (aaah aaaah aaah aaaaaah)
Mwili umepatwa na uvivu
Penzi limegeuka majivu uuuh nahisi kukonda  (aaah aaaah aaaaaah)
(iyee eeh eyeeeh aah..!!)
Eti tufe tuzikwe wote
Yani hukudhamiria chochote
Nafsi umeikatili katili acha tu nikukimbieeee
Nakuridhisha ma nakupa vyote
Kweli nahudumia cha wote
Basi we batili batili picha zisinirudieee ooh bebe
Kumbe kimya kimya anachachua maana unavyomsifiaga kwa insta
Unaniona kima unajichetua eti nlikulazimishaga unapita,
Umenizima umenibidua sidhani hata ka nshakunjaga aah ndita,
Nishakupima nimekugundua na hili nlishalipigaga aah vita

Hakuna marefu yasiyo na aaaah mwisho mwisho ooh  (lololo aah...!!)
Yani bora tufanye iwe mwisho mwisho ooh (tusiendelee aah....!!!)
Basi nimeshindwa mie mwisho mwisho ooh
Yani ni bora iwe mwisho (mwisho mwisho oooh) aah mwiiiiiiiiiiiii

Watch Video

About Mwisho

Album : Mwisho (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Jul 09 , 2021

More KILLY Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl