Mercy Lyrics
Mercy Lyrics by GUARDIAN ANGEL
Matendo mema ninafaa kutenda
Sio niyatendayo
Yale maovu, nisiyofaa kutenda
Ndiyo niyatendayo
Matendo mema, ninafaa kutenda
Sio niyatendayo
Yale maovu, nisiyofaa kutenda
Ndiyo niyatendayo
Have mercy on me
Mercy, mercy, daddy have mercy
Have mercy on me,
Mercy, have mercy, please forgive me
Nacheki bibi ya fulani daddy
Na jicho bobu kiplani, oooh
Nahisi wivu kwa jirani, iyee
Ninawakosesha amani, oooh
Akina dada kanisani
Nawachinjia mtaani, iyee
Na wengine mtandaoni
Nawatunmia picha funny, oooh
Mercy on me, mercy
Have mercy on me, daddy have mercy
Mercy on me, mercy
Have mercy, please forgive me
Matendo mema, ninafaa kutenda
Sio niyatendayo
Yale maovu, nisiyofaa kutenda
Ndiyo niyatendayo
Matendo mema, ninafaa kutenda
Sio niyatendayo
Yale maovu, nisiyofaa kutenda
Ndiyo niyatendayo
Have mercy on me
Mercy, mercy, daddy have mercy
Have mercy on me,
Mercy, have mercy, please forgive me
Baba tatizo ni money
Shida ni money
Vitu mingi ninatamani
Nina upungufu wa money
Cheki wengine wako nazo
Nashindwa shida ni gani?
Nina tamaa kindani
Nina tamaa ya pesa, tamaa ya madem
Nina tamaa ya nyumba na magari ya kifahari
Nina tamaa, tamaa inafanya nikukosee
Unisamehe jamani
Mercy on me, mercy
Have mercy on me, daddy have mercy
Mercy on me, mercy
Have mercy, please forgive me
Matendo mema, ninafaa kutenda
Sio niyatendayo
Yale maovu, nisiyofaa kutenda
Ndiyo niyatendayo
Matendo mema, ninafaa kutenda
Sio niyatendayo
Yale maovu, nisiyofaa kutenda
Ndiyo niyatendayo
Have mercy on me
Mercy, mercy, daddy have mercy
Have mercy on me,
Mercy, have mercy, please forgive me
Ooh daddy please have mercy on me(ooh)
Mercy on me, please forgive me
Daddy please have mercy on me(ooh)
Mercy on me, please forgive me
Have mercy on me, mercy,
Mercy on me mercy, mercy
Mercy on me mercy, mercy
Please forgive me
Have mercy on me
Mercy, mercy, daddy have mercy
Have mercy on me,
Mercy, have mercy, please forgive me
Watch Video
About Mercy
More GUARDIAN ANGEL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl