Amini Lyrics
Amini Lyrics by GUARDIAN ANGEL
Una miaka kibao unakazana
Ingawa hali ni ngumu
Unapambana pambana
Wenzako wa rika lako lako
Walishapata maana
Ukikutana nao wanakushangaa sana
Hali ya maisha yako
Inafanya unasononeka sana
Mke na watoto wako
Wameondoka una urweke bana
Hali ya maisha yako
Inafanya unasononeka sana
Mke na watoto wako
Wameondoka una urweke bana
Eh eh eh
Eh eh eh
Muamini
Ingawa hali ni ngumu sana, amini
Ipo siku yako yako, amini
Ingawa mbele unaona gizawe, amini
Ipo siku yako yaja
Ipo siku yako yaja leo
Amma kesho ama badae
Cha kufanaya ni
Kutia bidi na kuamini
Ipo siku yako yaja leo
Amma kesho ama badae
Cha kufanaya ni
Ku celebrate wenzako
Shangilia mwenzako
Anapofanikiwa
Furahia mwenzako
Anapobarikiwa
Nawe kwa siku yako
Tutashangilia
Nawe kwa siku yako
Tutakufurahia
Muamini
Ingawa hali ni ngumu sana, amini
Ipo siku yako yako, amini
Ingawa mbele unaona gizawe, amini
Ipo siku yako yaja
Watch Video
About Amini
More GUARDIAN ANGEL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl