Shoga Lyrics
Shoga Lyrics by GIGY MONEY
Sina makosa wanionea bure
Roho ya chuma sina wacha niumie
Nikikumbuka nilikotoka mi nawe
Mmmh mmh mmh
Chako changu ni chako
Tulikula mi nawe
Tukaapa viapo
Hatuto tengana mi nawe
Chako changu ni chako
Tulikula mi nawe
Tukaapa viapo
Hatuto tengana mi nawe
Shoga eeeh
Ukininyari unanionea bure
Shoga eeeh
Ukijinunisha unanikosea mie
We unanuna
Nikipata unanuna
We una nuna
Vitu vidogo we unanuna
We unanuna
Nikipata unanuna
We unanuna
Vitu vidogo we unanuna
Chumvi na ndimu
Unakuja kuomba nyumbani
Nikija kwako
Unaninyima
We ni muhimu kuliko
Mjomba Shabani
Nachotaka kwako
Heshima
Chako changu ni chako
Tulikula mi nawe
Tukaapa viapo
Hatuto tengana mi nawe
Chako changu ni chako
Tulikula mi nawe
Tukaapa viapo
Hatuto tengana mi nawe
Shoga eeeh
Ukininyari unanionea bure
Shoga eeeh
Ukijinunisha unanikosea mie
We unanuna
Nikipata unanuna
We una nuna
Vitu vidogo we unanuna
We unanuna
Nikipata unanuna
We unanuna
Vitu vidogo we unanuna
Chelewa kinuna utachelewa
Kinuna sema utachelewa
Kinuna we utachelewa
Shoga eeeh
Ukininyari unanionea bure
Shoga eeeh
Ukijinunisha unanikosea mie
We unanuna
Nikipata unanuna
We una nuna
Vitu vidogo we unanuna
We unanuna
Nikipata unanuna
We unanuna
Watch Video
About Shoga
More GIGY MONEY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl